Hatutarudi nyuma – Sheikh Farid


Labda kwa kuwa msikitini huhitaji kibali cha mkutano cha polisi.
 
nyerere alisema awazanzibar wakikataa muungano sita wapiga mabomuuu sasa tanganyika mbona munasahau raisi wenu maneno yaka Karume muungano ni kama kotiiii likikubana unalivuwa
.........ni kwa kuwa walikuwa na fikra pevu zilizoenda na wakati, (sijaunga hoja ya kuvunja Muungano lakini, hilo lieleweke)
 
Enzi za Mwalimu this fellow (Farid Hadi Ahmed) angekuwa ameshapelekwa Mtwara kwa Land Rover 109...!
Mkuu atapelekwa tuuu subiri nadhani hawa wanajidanganya wanafikiri sirikali imelala usingizi kila mahala siku si nyingi tutaanza soma mengine hapa. Yupo kiongozi wao anawadanganya ndio maana wanadiriki kusimama misikitini na kuongea *****. Hapa ndio ccm itajuta kuungana na kafu maana inawawia vigumu kuwashughulikia wahusika. Nyerere wakati kama huu angekuwa ameshavaa sura ya nyani mpaka kieleweke.
 

Mkuu msimamo wako ni nini kuhusu serikali 3??
 
kila la kheli na ndoto na fikra za uonevu sijui wakipata uhuru itakuwa kwa wabara waliozaliwa huko watakuwaje..

wabara walizaliwa Zenji tutawapa viwanja Mabwe, au eneo lolote watakalo hitaji huku Bara, ila nauliza wapemba wasiokuwa na family planning huku Bara wataenda kuishi kwenye ardhi gani huko Zanji? fikiri chukua hatua
 

Nchi gani bibi weee, hii tumeipindua sisi wala hatukupata kwa maandishi so hatutoiacha kamwe-mtaondoka kama walivyoondoka babu zenu! MAPINDUZIIIIIIIIIIIII=DAIMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…