Hata mi mwenyewe nazishtukiaga zile sio "shkamoo" za ukweli...lengo lao watutoe kwenye mood ya kuomba papuchi..na kwel kuna baadhi ya watoto walifanikiwa wengine nimekula dah ila niseme ukwel tuu yan mi nikisikia hili neno "shikamoo" ninapoanza kutongoza nanyong'onyea kabisa yanii nakuwa mdooogo [emoji20] [emoji20] [emoji20]Hutaki shikamoo kwa utoto gani ulionao??
[emoji23][emoji23]ht ivo izo izo shikamoo sizani kama hua ni za serious
Naishika tu tena navyopenda kushikaHaya njoo uishike sasa
Cc mahondaw
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hata mi mwenyewe nazishtukiaga zile sio "shkamoo" za ukweli...lengo lao watutoe kwenye mood ya kuomba papuchi..na kwel kuna baadhi ya watoto walifanikiwa wengine nimekula dah ila niseme ukwel tuu yan mi nikisikia hili neno "shikamoo" ninapoanza kutongoza nanyong'onyea kabisa yanii nakuwa mdooogo [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Hii tabia ya kuamkiana "shikamoo" wakati ki-umri tuko sawa muache au ndo mnatunyima mbu.n.y.e zenu kisairensa...utakuta lidemu likuuuubwa ile kulisalimia tu "mrembo mambo???" Utasikia "shikamoooo" aaaaagggghhhrrrr yan sipendiii mi ndo kwanza nina 24 afu demu wa miaka 28 aniamkie Mimi,Mimi,mimiii aaahh acheni hizooo..unaniamkia mi kaka ako??nyie VP??
Kwel mkuu!!lakin mi nashangaa nikiwa kawaida tu kwenye Mishe zangu hakuna hata mtu mmoja anayeniamkia ila nikimuona mtoto mzuri nikitaka kumtongoza tu hapo ndo "shikamoo" inapojitokeza sasa..lakini sehemu nyingine hawaniamkiiKaka kubali ukubwa, ukubwa huja wenyewe wala hupigiwi ngoma, ukiona sjikamoo zinazidi ujue tayari umri umesonga, badili tabia, fanya ibada kuitafuta pepo
HaaaaaaNaishika tu tena navyopenda kushika