MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,205
- 13,496
Hivi wewe unawaamini au unawajua CCM vizuri?Itakuwa ni akili Matope kama CCM itakubali Rais wao awe hajawahi kupimishwa ubavu na Makada wengine.
Umakamu alipata kwa Jinsia, Urais alipata kwa Ajali na sasa Apate kwa kupewa tena, No hii haiwezekani
Watakuwa wajinga wa mwisho..Hivi wewe unawaamini au unawajua CCM vizuri?
Naunga mkono hoja.Itakuwa ni akili Matope kama CCM itakubali Rais wao awe hajawahi kupimishwa ubavu na Makada wengine.
Umakamu alipata kwa Jinsia, Urais alipata kwa Ajali na sasa Apate kwa kupewa tena, No hii haiwezekani
Ukiwa CCM sifa ya kwanza ni ujinga,uongo,uchawa,ufisadi,utekaji na uuajiWatakuwa wajinga wa mwisho..
Aisee! Ana bahati.Itakuwa ni akili Matope kama CCM itakubali Rais wao awe hajawahi kupimishwa ubavu na Makada wengine.
Umakamu alipata kwa Jinsia, Urais alipata kwa Ajali na sasa Apate kwa kupewa tena, No hii haiwezekani
Mungefanya hivyo kwanza kwa Magufuli.Itakuwa ni akili Matope kama CCM itakubali Rais wao awe hajawahi kupimishwa ubavu na Makada wengine.
Umakamu alipata kwa Jinsia, Urais alipata kwa Ajali na sasa Apate kwa kupewa tena, No hii haiwezekani
Haiwezekani!, yaani hata huu uchaguzi atashindana mwenyewe.., maana mshindani wake yupo jela..,Itakuwa ni akili Matope kama CCM itakubali Rais wao awe hajawahi kupimishwa ubavu na Makada wengine.
Umakamu alipata kwa Jinsia, Urais alipata kwa Ajali na sasa Apate kwa kupewa tena, No hii haiwezekani