Hatutaki program ya maji. Sis tunataka maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatutaki program ya maji. Sis tunataka maji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by maimbi, Nov 19, 2011.

 1. m

  maimbi Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  kwa kweli hi imezidi utakuta watu wanatembea na mashanging mjini ya meandikwa program ya maji .sasa ilo shanging lenyewe ni visima kadhaaa. Hatutaki stika kwenye mashangi zinazo someka program ya maji sis shida yetu ni maji tu.
   
 2. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ninakuelewa,pole sana.I wish that could happen.Ila kwa hali ilivyo sasa,hiyo ni ndoto.
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  inasikitisha kwa kweli.Nalog off
   
 4. h

  hubby Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunavuka vilele
   
Loading...