Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.
Ila sipendagi hako katabia manake mtu umezoea kucheka nae ndani mara anarudi na stress sijui za kaz,mpira,madeni bar,kibuti cha hawara anazimalizia kwa mkewe!
Usireact kihivyo kulipiza nalo ni tatizo jingine,leo kama utashinda nyumbani jaribu kufanya romantic things....ukiona unamsemesha hajibu mtumie sms mweleze unavyojisikia na unavyopata tabu na hali yake..
Asiporespond huyo atakua ana lake moyoni.....
 
Akiendelea kugoma utafanyaje...

nitafanyaje Tuko sina la kufanya. nimeamua kusocialize JF nikutane na great thinkers wenzangu nigain issues
 
Last edited by a moderator:

Jawilat ningefanya mimi anachonifanyia ingekuwa kesi pangechimbika humu ndani hadi kwa wazazi kanyimwa unyumba. anavyoniacha namtamani kila akikatiza mbele ya macho yangu naumia. je mimi ningemwacha 'mnyama' wake namwona kapaa hewani kisha namshit ingekuwaje
 
Last edited by a moderator:
nitafanyaje Tuko sina la kufanya. nimeamua kusocialize JF nikutane na great thinkers wenzangu nigain issues

Mambo ndo hayo... Ila hamu itabaki palepale...
 
Last edited by a moderator:
Mama watoto angemua njia hii, naona hasira zingekua zinapita pembeni. Labda ningepata ugonjwa wa kununa nikihisi labda kuna mtu anakugegeda, ashakhum, limeniteleza tu, si unajua keyboard haina nyama.
Hataki sasa mie nifanyeje. njia nzuri ya kuanzisha mazungumzo ni mimi nikiwa kwenye kiuno tumeshagegedana namwambia asitoe kisha naanza kumpapasa kichwani huku namuuliza kimtegomtego. yeye yuko kaa katiwa ndimu haongei acheki
 
Mambo ndo hayo... Ila hamu itabaki palepale...

Wee umekazania hamu hamu hebu niache banaaaa nina uchungu mwenzio. jamaa yuko kwenye TV sasa hivi naona anabadili channel tu
 
Mama watoto angemua njia hii, naona hasira zingekua zinapita pembeni. Labda ningepata ugonjwa wa kununa nikihisi labda kuna mtu anakugegeda, ashakhum, limeniteleza tu, si unajua keyboard haina nyama.

cha' kununa ingekuwa ugonjwa mbona ningekimbilia dawa duka la dawa baridi fastaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Wee umekazania hamu hamu hebu niache banaaaa nina uchungu mwenzio. jamaa yuko kwenye TV sasa hivi naona anabadili channel tu

Hahahaaa. .. hebu mvae hapo hapo kwa tv mnyonye mate kama dk 20 mfululizo usipoona kununa kukaisha...
 
ndo walivyo mpenzi jaribu siku kununa patachimbika..anyway mim alikujaga amenuna hivyo..nikamvumilia nikashndwa..nikasubiri ameenda bafuni nikamfata hukohuko nikavua nguo nikamwambia nimekuja kuoga..aaaah si unajua kama ni rijali kitaeleweka tu...mpaka leo sijui hasira zake ziliendaga wap!
 
Last edited by a moderator:

Mara nyingi wanandoa wakiwa wamenuniana wakishapeana unyumba huwa hali inarudi kawaida. Huyo wa kwako vip?!
 
Last edited by a moderator:

hahahaha ngoja nivute pumzi nitumie hii njia
 
Wanatulalamikiaga sisi et tukikasirika hatuwapi vidudu vyetu kumbe na wao ndivyo walivyo!! Duu! Atakuwa kamfumania small hauz huyo aliyempangia chumba siyo bure!! Chamsing wewe usimnunie wala nini ndio kwanza ongeza mahabat mwenyewe atakupa dudu lake!! Hahaha!!
 
Mara nyingi wanandoa wakiwa wamenuniana wakishapeana unyumba huwa hali inarudi kawaida. Huyo wa kwako vip?!

imagine alfajili saa kumi na moja i tried kumpapasa kiuno ili nimvute karibu yangu kanitolea nje na ameamka yupo serious kama mgambo wa jiji
 
Wanatulalamikiaga sisi et tukikasirika hatuwapi vidudu kumbe na wao ndivyo walivyo!! Duu! Atakuwa kamfumania small hauz huyo aliyempangia chumba siyo bure!! Chamsing wewe usimnunie wala nini ndio kwanza ongeza mahabat mwenyewe atakupa dudu!! Hahaha!!

nishakoga nimejikoki na khanga ya mchina hapa
 
imagine alfajili saa kumi na moja i tried kumpapasa kiuno ili nimvute karibu yangu kanitolea nje na ameamka yupo serious kama mgambo wa jiji

Ni kawaida yenu kupata cha asbh lakin?... maana kuna watu wengine asbh hawapendi (kama mimi)...
 
ndoa ya mda gani hiyo
mbona enzio wananuniwa miezi na wako poa tu...

watu huwa wanaboreka na maongezi yale yale sometimes
kama ana stress anataka space
sio wewe uanze kujifanya unataka attention kama mtoto mchanga
 
si kitoweo kimekuja kutafuta mamba au huoni? lol
 
ndoa ya mda gani hiyo
mbona enzio wananuniwa miezi na wako poa tu...

watu huwa wanaboreka na maongezi yale yale sometimes
kama ana stress anataka space
sio wewe uanze kujifanya unataka attention kama mtoto mchanga

The Boss ndoa ya miaka mitatu hajawahi kufanya ujinga huu hata siku moja.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…