Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.
Atatulia tu au pengine amesikia habari mbaya kuhusu wewe. Jaribu kujishusha na kuwa mpole mwishowe atakuambia why kawa vile. Pole sana mama

sasa si aseme tu! yaani anaumiza moyo wake kwa asichokijua haelewi na mimi ananiumiza mtima wangu kwa kuwa nampenda
 

Pole my dia..hawa jamaa mimi siwaelewagi kabisa.kama amekausha na wewe mwache fanya kama usafi kuwa busy sana wala usimuulize kitu..silaha kubwa kwa hawa watu ni kunyamaza mpe chakula fanya yote ya msingi.atajiona tu mjinga..me nimeshajizoelea mtu kama hataki kukupa haki basi silazimishi.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake bhana sometimez wako heartless sana but jaribu kuongea nae akuambie kinachomsumbua maybe ni sababu za msingi!!
 
Pole inaoneka hayupo sawa mshawishi zaidi ukiona bado haelekei kuna uwezekano amesikia jambo baya kuhusu wewe.
 

Umeona eeh nkululeko
 
Last edited by a moderator:
twendezetu Mbalamwezi beach Pana live band my dia just in pm tu
 
Kuna watu humu walishaachama kama mamba walijua kitoweo hichoooo!!!

Mna muda gani kwenye ndoa Sista? Ndivyo anavyofanyaga ukimuudhi? Kama hii ni mpya basi kuna kubwa limemsibu,jaribu kumuuliza taratibu tu kama kuna tatizo na hata akikataa kusema itafsiri kuwa hajawa tayari bado. Usifanye kisirani mamy,wewe ni mkewe na hawezi kukununia milele hata kama ana zito gani kuna siku atalitua tu kwako,mpe nafasi anayoihitaji ila usiwe na kinyongo moyoni,mpe huduma zote anazostahili kama mume,akiwa nyumbani kaa naye jirani ila usimuulize tena yanayomsibu. Jitahidi kuwa wa kawaida kama anayofanya hayakukeri vile soon atajiona mjinga na atafunguka tu.
Pole mwaya kila mwanaume ana yake yanayokera
 
Last edited by a moderator:

Nawajua sana tu..relax usikasirike wala fanya majukumu yako yote.akimaliza ujinga wake wa kununa atakwambia wa wapi kwani huyo.me wangu hanuni mdogo wangu,hizo tabia za vichochoroni.mambo ya haki ndio naona wanaringa.na mimi uwa nasema nimechoka leo..ehee watuache jamaniiii
 
Last edited by a moderator:
Atatulia tu au pengine amesikia habari mbaya kuhusu wewe. Jaribu kujishusha na kuwa mpole mwishowe atakuambia why kawa vile. Pole sana mama
Hapo kwenye red inawezekana panahusika.Huyu naona anacheza,jamaa inaonekana anakusanya ushahidi tu.
 
Tuko umenichekesha mpaka nimetoa sauti. siwezi mbaka kwa sababu hata mie sitaki kubakwa

@
Kiukwel inaonyesha mmeo kapata kidosho huko anajistukia
 
Last edited by a moderator:
Fatilia vizuri akwambie sababu halisi ya kununa kwake. Yawezekana kapigwa kibuti na kazi za nje! Tehe tehe
 
duh! jamaa anasusia na kugegeda...! huu uffalah
 
Kiukwel inaonyesha mmeo kapata kidosho huko anajistukia

hata na mimi ninamuhisi vibaya. lakini ngoja nisikilizie mpaka jioni hii cinema itaishaje
 
Fatilia vizuri akwambie sababu halisi ya kununa kwake. Yawezekana kapigwa kibuti na kazi za nje! Tehe tehe

Hataki sasa mie nifanyeje. njia nzuri ya kuanzisha mazungumzo ni mimi nikiwa kwenye kiuno tumeshagegedana namwambia asitoe kisha naanza kumpapasa kichwani huku namuuliza kimtegomtego. yeye yuko kaa katiwa ndimu haongei acheki
 
Fatilia vizuri akwambie sababu halisi ya kununa kwake. Yawezekana kapigwa kibuti na kazi za nje! Tehe tehe


yaani upigwe kibuti na hawala uje nyumbani umnunie mkeo!! kisha uwe non perfoma kunako ndoa!!! hainiingii akilini hii
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…