hahaha kuna kisa kifupi hapa mkuu
Kuna kaka mmoja alikuw anafanyakaz mashineni
mashine ilikuw ya kukoboa na kusaga
mwanamke akipeleka mahindi pale mashineni
kama anakoboa na kusaga
bill ya kukoboa anamsamehe analipia tu bill ya kusaga unga then
kwenye bill ya kukoboa wanaongea kwenda kubanduana
kwa njia hiyo alitembea na wanawake kibao pale mtaani
kuanzia mabinti mpaka wake za watu
isipokuw siku moja mke wa mchungaji akapeleka mahindi pale mashineni
jamaa kama kawaida akamwambia nitakusagia bure ila naomba unipe papuchi
mwanamke akasema siwezi kufanya kitendo kiuvo kama hicho
jamaa katumia kila mbinu ikashindikana
kwakuw jamaa alikuw amekata tamaa kabisa kuoa maana alikuw anawapata wanawake na kuwachezea kirahisi tu bila kuhangaika
lakini siku hiyo alikwama kwa mwanamke mmoja kati ya wengi aliokuw amezoea kujipigia tu kiulaini
kilichofuata alianza kufuatatilia amfahamu mume wa huyo mwanamke ndipo akaja kugundua kumbe yule mwanamke alikuw mama mchungaji
kwa ujasiri alimfuata mchungaji akamwambia
"Kaka naomba unioneshe ulikooa huyu mwanamke na mm nikaoe"
mchungaji akamuuliza kwanini unasema hivo ndipo jamaa akaelezea kisa kuw ametembea na wanawake wengi sana pale mtaani
isipokuw amekwama kwa mwanamke mmoja
kilichokuw kinamkatisha tamaa yule kaka kuwapata wanawake bila kuhangaika mbaya zaidi hata wake za watu
Tatitzo lipo kwenye kujirahisi
si ndo umalaya huo au
Sent using
Jamii Forums mobile app