Hatuna umeme siku ya pili leo


C

Campus

Member
Joined
Aug 19, 2011
Messages
35
Likes
0
Points
13
C

Campus

Member
Joined Aug 19, 2011
35 0 13
Kwani ile mitambo imeanza uzalishaji lini?Sie huku in ths part of the city ni siku ya pili hadi sasa hatuna umeme na hatuambiwi hata sbb yoyote ya msingi!Baada ya kututesa na upatikanaji wa luku sasa wanatutesa na nishati yenyewe kabisa!Shuguli zinasimama
 

Forum statistics

Threads 1,250,178
Members 481,248
Posts 29,723,259