Je mbatia ameamua kuasi kambi ya mafisadi na ile nyingine? Au kuna jambo?
Sehemu niliyo bold inajichanganya na wewe ni mwandishi wa habari?M.kiti wa chama cha nccr mageuzi amekutana na wandishi wa habari kutangaza msimamo wa chama chake kuwa hakiko tayari kwa mazungumzo na serikali ya kifisadi ya ccm wala rais wake jk katika suala zima la katiba. Huo ndio msimamo wa mbatia. Ameamua kula moto na ccm na serikali kwelikweli. Wandishi walibaki tunashangaa kaama kweli huyu ndiye mbatia tulimjua? Mabadiliko haya ya ghafla kulikoni?
M.kiti wa chama cha nccr mageuzi amekutana na wandishi wa habari kutangaza msimamo wa chama chake kuwa hakiko tayari kwa mazungumzo na serikali ya kifisadi ya ccm wala rais wake jk katika suala zima la katiba. Huo ndio msimamo wa mbatia. Ameamua kula moto na ccm na serikali kwelikweli. Wandishi walibaki tunashangaa kaama kweli huyu ndiye mbatia tulimjua? Mabadiliko haya ya ghafla kulikoni?
Hatimaye machale yamemcheza kula sahani moja na Magamba....Better late than never.
Mbatia nae kaona atoke kivingine, ndio siasa zetu ni kuvumiliana kila mmoja na single yake...bado Mrema, na Cheyo
Anaona Kafulila anataka kumuondoa madarakani,hana lolote hapa anajihami tu.
Kuna jambo gamba halikumbatiwi bali hukatwa.Je mbatia ameamua kuasi kambi ya mafisadi na ile nyingine? Au kuna jambo?
M.kiti wa chama cha nccr mageuzi amekutana na wandishi wa habari kutangaza msimamo wa chama chake kuwa hakiko tayari kwa mazungumzo na serikali ya kifisadi ya ccm wala rais wake jk katika suala zima la katiba. Huo ndio msimamo wa mbatia. Ameamua kula moto na ccm na serikali kwelikweli. Wandishi walibaki tunashangaa kaama kweli huyu ndiye mbatia tulimjua? Mabadiliko haya ya ghafla kulikoni?
Je mbatia ameamua kuasi kambi ya mafisadi na ile nyingine? Au kuna jambo?
You now know the real one! si umesikia kutoka kwake mwenyewe?M.kiti wa chama cha nccr mageuzi amekutana na wandishi wa habari kutangaza msimamo wa chama chake kuwa hakiko tayari kwa mazungumzo na serikali ya kifisadi ya ccm wala rais wake jk katika suala zima la katiba. Huo ndio msimamo wa mbatia. Ameamua kula moto na ccm na serikali kwelikweli. Wandishi walibaki tunashangaa kaama kweli huyu ndiye mbatia tulimjua? Mabadiliko haya ya ghafla kulikoni?
lazima abadilike coz kafulila c unajua tena anataka kumpokonya huo uongozi.