Waliotunga kauli mbiu wana akili na ina mantiki sana kwa mazingira yetu ya sasa. Inategemea tu unaiangalia kutoka kwenye muktadha upi. Mfano nikisema kuwa waliotunga walikuwa na maana: Tumethubutu kufisidi nchi, tumeweza na sasa tunasonga mbele nitakuwa nimekosea? Au tumethubutu kuchakachua uchaguzi, tumeweza na tunasonga mbele - yaani kuchakachua kwa kwenda mbele.