Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 857
- 1,778
Kasema hajawahi kufanya hata x1.,Yupo kwa nailoni ama ni second-hand product?
Mbuzi kwenye gunia. Take careKasema hajawahi kufanya hata x1.,
Achana naye, tafuta mwingine.Huyu dem nampenda hatujafanya chochote anataka nimtolee
posa!!
Na hataki kutoa kabisa anasema mpaka Nimuoe mana hataki kuchezewa!!
Yani sielewi anasema wanaume akipata tu ngono hakutaki tena,,
Ukizingatia hali ngumu n.k
Nifanyeje.?
Yuko sahihi,angalia kama uko tayari umuoe,la sivyo unaweza kuongeza idadi ya single mother mtaaniHuyu dem nampenda hatujafanya chochote anataka nimtolee
posa!!
Na hataki kutoa kabisa anasema mpaka Nimuoe mana hataki kuchezewa!!
Yani sielewi anasema wanaume akipata tu ngono hakutaki tena,,
Ukizingatia hali ngumu n.k
Nifanyeje.?
Amejuaje? Au ameona wewe ndio boya?anasema wanaume akipata tu ngono hakutaki tena,,
Acha ufala, Kagua mali mkuu,ukizubaa utaenda kukutana na BP ( Bleki pumbu).Kasema hajawahi kufanya hata x1.,
Atapata mhaho sio wa nchi hii, ata HA HA sanaAcha ufala, Kagua mali mkuu,ukizubaa utaenda kukutana na BP ( Bleki pumbu).
Hata ikiwa used, basi isiwe too much, hakuna kubana hata chembe.Umekuja kuchukua mbinu za kumkula halafu baadae ndio nyie mnasenga hamuoi mwanamke asiye bikra?
Hapana sio usharudi mzuriusikubali mkuu hakikisha unamuonja kwanza, ili ujue