Hatualikani wakuu....!!

Hatualikani wakuu....!!

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,919
Eid Mubaraq.............

Jamani nimekuja mjini baada ya kumaliza kazi ya kuvuna kijishamba changu kijijini na kuuza mazao, fasta fasta tuelekezane leo sikukuu tunajumuika wapi??
 
Eid Mubaraq.............

Jamani nimekuja mjini baada ya kumaliza kazi ya kuvuna kijishamba changu kijijini na kuuza mazao, fasta fasta tuelekezane leo sikukuu tunajumuika wapi??

Oooooh! ur welcome brother, njoo kwetuuu, fanya hivii
Panda gari ya MBAGALA shuka RANGI 3, Panda Hiace zinazokwenda IKWIRIRI shuka KISEMVULE,hapo kuna magari ya mkaa yanayokwenda TUNDWISONGANI omba rift wakushushe NJIAPANDA YA MALELA hapo kodi Bodaboda Mpaka KWAMBONDE ukifika hapo kuna kinjia kinaelekea kushoto nenda nacho mpaka kwenye kimto,vuka mbele kwenye bonde la mpunga fuata njia ya kulia mbele kuna BOMA LA NG'OMBE lipite mpaka kwenye kisima cha NDOO ukikuta watu hapo waulize nyumba ya MZEE MSHINDO MBWELA ipi watakuonyesha ,Usikose kuja ndugu yangu waiting for you!
 
Katavi, karibu kwangu, panda gari ya gongolamboto, ukishuka panda la kwenda Kisarawe, shuka minaki vuka barabara nenda ulizia shuleni hapo utanipata...Niko zam....
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaah,,,,,,,,,ngoja niprint haya maelekezo ili nisije kupotea. Nakuja mkuu.
 
Katavi, karibu kwangu, panda gari ya gongolamboto, ukishuka panda la kwenda Kisarawe, shuka minaki vuka barabara nenda ulizia shuleni hapo utanipata...Niko zam....

Asante sana kabanga nakuja sijui leo foleni ikoje,,,,!!
 
Last edited by a moderator:
umepotea kiongozi....?

kiongozi nimefika ila wenyeji wa kunielekeza mtaa wako sikuwapata, kila niliyemuuliza anasema hakufahamu, ajabu hata wanafunzi wako eti hawakufahamu.
 
oooooh! Ur welcome brother, njoo kwetuuu, fanya hivii
panda gari ya mbagala shuka rangi 3, panda hiace zinazokwenda ikwiriri shuka kisemvule,hapo kuna magari ya mkaa yanayokwenda tundwisongani omba rift wakushushe njiapanda ya malela hapo kodi bodaboda mpaka kwambonde ukifika hapo kuna kinjia kinaelekea kushoto nenda nacho mpaka kwenye kimto,vuka mbele hfjhjhkwenye bonde la mpunga fuata njia ya kulia mbele kuna boma la ng'ombe lipite mpaka kwenye kisima cha ndoo ukikuta watu hapo waulize nyumba ya mzee mshindo mbwela ipitj watakuonyesha ,usikose kuja ndugu yangu waiting for you!
j
hjjrekj

mbona sijakuona hadi saa hizi jua ndo linazama ivoo!
 
Back
Top Bottom