Sawa sawa.Mwenza wangu akiweza kuvumilia tabia yangu ya unywaji anafaa kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakun'gata sikio akifeli hapo...waachie wanaume wengine.Ya mwisho dadazangu wengi wanafeli. Maana wengi ni kupe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] mkuu tunafanyaje maana ukigusa tu unakuta mtu ana character za kupe. Kwahiyo tusiwowe????Nakun'gata sikio akifeli hapo...waachie wanaume wengine.
Nasi tupo wengi.
Kwa mujibu wa hizi hatua "kuntu" sikushauri mkuu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] mkuu tunafanyaje maana ukigusa tu unakuta mtu ana character za kupe. Kwahiyo tusiwowe????
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapana mkuu. Ni sawa na kufanya kazi pasi mshahara!Kwa mujibu wa hizi hatua "kuntu" sikushauri mkuu.
Unawezaje kuishi na binadamu asiye na faida kwako?
Haki elimu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapana mkuu. Ni sawa na kufanya kazi pasi mshahara!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hiyo NB umesema ukweli mtupu.Yani umeshushuka vizur,
But hapo kwenye NB ndonukaja kutaga,
Kwasababu iman bila Mungu imekufa, haiwez kufanya kitu.
So unatakiwa ujue
Unatumia nguvu gani,
Upo kwa Mungu qu kwa shetani.
Wew peke ako huwez toa muujza wowote utaangukia pua tu.
NB: Mungu wetu aliye juu, hakuna anae weza kumshinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unayo haki ya kushutumu imani ya mtu mwingine kuwa ni mbaya mzee baba?Yani umeshuka vizur,
But hapo kwenye NB ndo ukaja kutaga,
Kwasababu iman bila Mungu imekufa, haiwez kufanya kitu.
So unatakiwa ujue
Unatumia nguvu gani,
Upo kwa Mungu au kwa shetani.
Wew peke ako huwez toa muujza wowote utaangukia pua tu.
NB: Mungu wetu aliye juu, hakuna anae weza kumshinda.
Sent using Jamii Forums mobile app