Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,263
Picha ya pili unaona geti hapo. bado kuna watu wanaishi. picha ya 3 unaona ukuta umemegwa na kujengwa na kuacha geti ambapo watu wanapitajamani watu bado wanaishi kwenye hizo nyumba au?
Picha ya pili unaona geti hapo. bado kuna watu wanaishi. picha ya 3 unaona ukuta umemegwa na kujengwa na kuacha geti ambapo watu wanapita
Ni kweli haiwatendei haki. Hapo ilikuwa ni barabara na si uchochoro kama inavyoonekanawakiambiwa waame wanasema serikali haiwatendei haki
Ni balaa kweli. halafu weye ndie rebeca yule?duh ni balaa.....
Hapa ilikuwa ni barabara nzuri iliyopanuliwa na kampuni ya KAJIMA wakati wanajenga sehemu ya Jangwani ndiko walikuwa wanapitia kuchukua kifusi. Kwa wakati huo walimjengea nyumba mama mmoja aliyewapa eneo la kuchimba kifusi miaka ya 80.
mh makubwa.....