Hatua Kuu Tatu Ambazo Kampuni Inabidi Ipitie Ili Ikamilike

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
126
Reaction score
186
Watu wengi Hufikiria kua ukishapewa Certificate of Incorporation na Brela basi Kampuni imekamilika na unaweza kufanya biashara.

Ila ukweli ni kwamba ni lazima Kampuni Ipitie hatua hizi Tatu.
1. Registration Stage
Hapa unasajili Kampuni Yako kupitia mfumo wa Brela, kama kila kitu kitakua sawa Kampuni yako itasajiliwa ndani ya siku 3 -7 na utapewa certificate of Incorporation.

2. TRA stage
Hapa Kampuni yako ikisajiliwa unaenda TRA na Certificate kutoka Brela, pamoja na documents zingine kama leese agreement.
TRA watakupa Karatasi za ku sign na utapewa TIN certificate.
Kisha utashughulikia tax clearance.

3. Licensing stage
Hapa utaomba leseni ya biashara Brela kupitia business portal.
Utapewa leseni baada ya ku submit documents na fee.

Hello, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni.
Kwa Tips kama hizi za Sheria na biashara usiache Kuni follow.
 
Weka mawasiliano yako.
 
Kuna mmoja namfahamu anaitwa Joseph Luhamba ni wewe? Alikuwa jirani yangu Tabata Kisukulu.
 
Back
Top Bottom