Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,831
- 8,776
Duh!...hivi kundi namba 6 ni kweli lilikuwepo au ilikuwa kupakana matope ?..1)Chama Cha ukombozi
TANU +ASP=CCM
Sera- Ukombozi,kupambana na Njaa ,maradhi,ujinga na umasikini ujamaa na kujitegemea.
viongozi -Wafia NCHI.
Wachache- Nyerere,Karume,Kawawa Aboud Jumbe, Sheik Thabit Kombo n.k
2)CCM Halisi
Sera - Ujamaa na kujitegemea,kuinua maisha ya wakulima na wafanyakazi
Viongozi- Wafia NCHI.
Wachache-
Nyerere,Aboud Kumbe,Idris A dul Wakhil,Salim Ahmed Salim,Seif Sherif Hamad, Edward Sokoine, Jackson Makweta,Paul Sozigwa,n.k
3)CCM Ruksa
Sera-Ujamaa na kujitegemea Ruksa Wakulima wafanyakazi na wafanya Biashara Ruksa.
Ruksa kufanya kazi na kufanya biashara kiongozi wa serikali
Viongozi-Wafia nchi na Chama.
Ali Hassan Mwingi,John Malechela,Salmin Amour,Ali Ameir Mohamed,Shamsa Vuai,Nahodha,Augustin Mrema n.k
4)CCM Uuzaji mashirika
Sera -
Sera-Ubepari ubinafaishaji, Uwekezaji na uuzaji wa mashirika,makampuni na rasiliamali za umma kwa wawekezaji wa ndani na nje
Viongozi- Wafia Chama. Benjamin Mkapa,Ali Mohamed SheIn,John Malechela,Ali Omar Juma.
5)CCM Mtandao
Sera -Ufisadi, Upigaji na mishemishe,michongo, Madili na Uzandiki.
Richmond,Tegeta Escrow,Kagoda EPA,n.k
Viongozi-Wafia Kundi.
Jakaya Kikwete,Aman abeid Karume,Sumaye,Lowasa,n.k
6) CCM Sukuma Gang
Sera-
Wafia Chama.
Maendelea pamoja na Visasi,Ubabe,sifa,kukomoana,Utaifa,Umafia,uonevu,hazieleweki,Ukanda,Utekaji,kupotezwa.
Viongozi- John Magufuli,(Husein Mwinyi)(Majaliwa Majaliwa),Mwigulu,Makonda,Nape,
7)CCM MAFIA
Sera -Wafia Uongozi
Hakuna sera, Polisi State, Hakuna kuhoji,Mafia,Utekaji,Ugaidi,Ubakaji,mateso,ubambikaji kesi na kupotezwa,kupiga marufuku.n.k
Viongozi-
Samia Suluhu,Mwigulu,Makonda,Chalamila,Patrobas Katambi,Abduli,Mchengerwa n.k
Hakuna kitu hicho kinachoitwa Sukuma Gang, it is just a fictitious group ya waoga wa ukweli, ila wenye akili fupi wakaamini na Wasukuma wakaanza sio tuu kubaguliwa bali pia kuenguliwa!. Mfano mzuri ni neno "magwajima" na "gwajimaization", ila kiukweli tukubali tukatae Wasukuma wana uwezo mkubwa sana wa uongozi kutokana na kujaaliwa uthubutu!. JPM ni ushahidi tosha.Duh!...hivi kundi namba 6 ni kweli lilikuwepo au ilikuwa kupakana matope ?..
Pascal Mayalla
Uko sahihi Mkuu Pasco,ila ndivyo kundi namba silta lilivoitwa na kundi namba Tano au CCM namba Tano.Hakuna kitu hicho kinachoitwa Sukuma Gang, it is just a fictitious group ya waoga wa ukweli, ila wenye akili fupi wakaamini na Wasukuma wakaanza sio tuu kubaguliwa bali pia kuenguliwa!. Mfano mzuri ni neno "magwajima" na "gwajimaization", ila kiukweli tukubali tukatae Wasukuma wana uwezo mkubwa sana wa uongozi kutokana na kujaaliwa uthubutu!. JPM ni ushahidi tosha.
- Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!
- Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika
- Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!
- Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta! ila nikamshauri Blaza kupunguza ukali. Pascal Mayalla: Rais punguza ukali
- Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
P