OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Hivi hizi zote applicable nyakati zote, mikoa yote ya Tanzania, kwa makabila yote?
Umeanza. . . . . .
Haaaa nimekumiss my brother
Darling One!, au Kuna jina lingine unalotumia?.
Acha tu. . . . .hebu tuchepuke kwanza
Hakika...
Ila nimekuona katika ubora wako
Si ndio unijuze nililite jina lako, uanze kufaidi ndoto yako!.Sio Hilo bwana, lile lenyewe lile la kwenye cheti kabisa.. Haha
Wanafahamu sisi wengine ni wavuvi, pesa yetu tunaweka kwenye mkwiju. Hakuna cha Bank wala ATM...Tukim-mind mtu tunazimwaga tu...!.Kipengele cha maswala ya bank......atm......na nini mbona sioni........?..........
Madem wenyewe wako wapi wa kuwafanyia hivyo?
Si bora niendelee kua single
Outdated sana hizi, haziwezi kumzuzua mwanamke...Labda wanawake wa huko kwenu Vikumbulu