Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

Mtambuzi keshampata mrithi wake wa hapa MMU hahahahahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni point za mwaka arobaini na saba!
 
Msaada! Msaada! Nahitaji kujifunza Dance, plus style ya "Kwaito".
 
mi nkajua anaendelea kumbe ndo kamaliza alaah yaan ukitajwa jina tu unaahiba mwenye nyumba hadai kosi rena au?

Ha ha haaaa. . . . thank you!!!!

Labda hapo wanaongelewa wadada wanaojimudu. . . . . . .
 
mwenyewe najimudu ila reserve awe nayo.
pia kipengele cha performance stajini cjaona

Hapo sasa sawa mwaj waukweli. . . .. . Sio kila kukicha pichu mara bra imelegea mikanda sijui kitasa kimegoma ooonh fundi wa kiatu ananidai yaani kila ukimuona yeye anashida tu. . . . mara hela ya gari la uchafu sijui sangita zimefanyaje. . . . . . . Dunh

Ha ha haaaaa unataka kichezo kikali sio. . . .
 
Last edited by a moderator:

Mmmmmh
 
Last edited by a moderator:
mi napendaga pale kwenye 6 x 6 ambapo wengi hutaja majina ya michepukooo
 
Hivi hizi zote applicable nyakati zote, mikoa yote ya Tanzania, kwa makabila yote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…