Hatua 6 za kumzuzua Mwanamke

If your bank account is not healthy, there is no way your suggestions will going to work.

If u impress her with money and good sex the rest doesn't matter.
 
Kama hakuna kipengele cha kumpa pesa mwanamke Au kumtumia vocha basi huu utafiti ulifanyika kipindi Mshikaji demu wake anambembeleza hati ya nyumba abadilishe hati ya nyumba
 
Jidanganyeni tu... Pesa ndio kilakitu
Kama huna pesa utajifunza mbinu zote na cheti utapewa ila wanawake utaishia kuwapigia nyeto.
 
Utumbo mtupu tena wa chizi karogwa tena
 
Ilikua inasemekana waganga ndio wenye mashart makali ila siku hizi kwenye mapenzi kumezidi 😊
 
Mchawi pesa bana hayo mengine ni majigambo tu ya fasihi
Pata pesa upate unachotaka na hii dunia πŸ˜‚ πŸ˜‚ isipokuwa tu uzima wa milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…