Hatma yako ipo miikononi mwako

Hatma yako ipo miikononi mwako

Chakwale

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
1,086
Reaction score
1,601
Kila kitu unachokiona iwe ni taasisi mbalimbali, sayansi, teknolojia, gunduzi na vumbuzi mbalimbali kama ndege, magari, meli, simu, mavazi, fedha nk nk katika dunia hii kwanza kilikuwa wazo la mtu fulani baada ya kufanyiwa kazi ndipo kikawa hivyo kilivyo leo.

Kiasili karibu vitu vyote duniani vilikuwa haviwezekani kufanyika or kutokea katika baadhi ya watu fulani mawazoni mwao kabla ya watu fulani kuprove wrong mawazo na fikra hizo.

The Impossible is possible, everything you see today as possible was impossible yesterday. You can change everything you want today, if you believe you can achieve.

Hatma yako iko mikononi mwako, jinsi ulivyo leo ni matokeo ya namna ulivyofikiri jana. Wewe ni mawazo yako mwenyewe

Badili namna unavyofikiri ili Ubadili maisha yako, kuna dunia iliyopo ndani yako iliyojaa kila kitu unachokitaka kilichopo na kisichokwepo sasa.

Maisha uliyonayo sasa ni Matokeo ya dunia or ulimwengu wa ndani yako, ulimwengu huo ni fikra na mawazo uliyonayo sasa.

We Must "be" before we can "do",and we can "do" only to the extent which we "are",and what we "are" depends upon what we "think"..
"Think" Wisely..
"Think" Big..
"Think" Positively..




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Motivational Speaker kitaa Mambo taiti umehamia JF
Hiyo kazi uliyonivika sijawahi kuifanya,mm nimuajiriwa ninaelipwa mshahara ulionifanya nikafungua na biashara nyingine pembeni..kubarikiwa kwangu hakunifanyi niwe na kibri na dharau kwa wengine wasio na kazi,wasio na mtaji wa kibiashara na wasiojua kesho wanaamkia wapi..Kufariji wengine ni moja ya ubinadam pia..dont judge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom