yote mawili.
kwanza sikupenda kusomea ualimu huo ndio ukweli. Nilisomea tuu ili nipate mkopo angalau nami niwe na digrii.
pili, Napenda kuwa mtengeneza ramani na ndio maana nimeona nisomee hii kozi