Hatma yake ni niniI?

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,332
Reaction score
10,913
Wadau vipi.

Poleni na majukumu ya kila siku sana zaidi nitoe shukrani zangu kwa uongozi wa JF kwa kuturudisha hewani.

Tukirudi kwenye mada.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23. Nimehitimu mwaka jana shahada ya kwanza.
Kutokana na changamoto ya ajira nimeamua kuendelea na shule kwa kuchukua shahada ya pili ya GEOGRAPHIC INFORMATION SYSTEM (GIS).

Je kozi hii soko lake limekaaje kwa mazingira yetu ya Tanzania na Dunia kwa ujumla?
 
Duuu mara ya kwanza umechukua bachelor ipii???,,,kusoma sana ni woga wa maisha,,, bora tu utumie izoo laki kuanzisha biashara yeyote maisha yaende aiseee
 
Sema kozi ya kwanza umesoma nini halafu tukujibu swali lako na kukupa additional answer kwa swali ambalo hujauliza ila jibu lake laweza kuwa na manufaa makubwa kwako
 
Hapa hauwezi pata jibu kijana. Hili swali lingepata jibu kipindi kile wakati wa utawala wa JK, ama sivyo pengine unaweza ukapata jibu sahihi mwaka 2025 akisha maliza awamu yake huyu Baba.
 
Hapa hauwezi pata jibu kijana. Hili swali lingepata jibu kipindi kile wakati wa utawala wa JK, ama sivyo pengine unaweza ukapata jibu sahihi mwaka 2025 akisha maliza awamu yake huyu Baba.

kwa hiyo nisubiri huyu baba atoke kwanza?
 
Sema kozi ya kwanza umesoma nini halafu tukujibu swali lako na kukupa additional answer kwa swali ambalo hujauliza ila jibu lake laweza kuwa na manufaa makubwa kwako

Bachelor of Arts with Education
 
Duuu mara ya kwanza umechukua bachelor ipii???,,,kusoma sana ni woga wa maisha,,, bora tu utumie izoo laki kuanzisha biashara yeyote maisha yaende aiseee

nimesoma Bachelor of Arts with Education mkuu
 
Yaani mpaka unaamua kusoma masters bado hujafanya utafiti kuhusu kozi yako ?
 
Yaani mpaka unaamua kusoma masters bado hujafanya utafiti kuhusu kozi yako ?

mkuu utafiti ni pamoja na huu. najua humu wapo wadau wengi wenye mawazo lukuki katika hili.
 
Kuhitimu mwaka jana tu ushaona changamoto ya ajira??

Mpaka kufikia kuichagua GIS ukaisomee naimani kuna kitu kilikuvutia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…