Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

AKili ikikuruka huwezi kupona moja kwa moja, poole dada utapona ikifika 2060
 
Una uhakika kama ccm itaishi milele? Tumia ubongpp wako vizuri wewe!! Unadhani miaka ya 2004 ni ya sasa hivi?
 
kauli zako zinaonyesha wazi huamini Mungu hata kidogo
 
haka kabinti ni empty headed.kapokapo kama kikaragosi.kuna mambo ya msingi ya kujadili jama ripoti ys cag krnyewe kanaleta utoto wake
 
Jipe muda utaelewa tu siyo lazima sasa hivi lakini baada ya oktoba tukutane hapa


Endelea kuvuta shuka hadi saa sita! maana kumekucha ila hujui kuwa giza limeondoka, na watanzania wapo kwenye nuru. Inasikitisha jinsi usivyoelewa kinachoendelea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…