Naiona vita ya Accountant na Annie ikihamia kwa Annie na Carryn!Kwangu kuna mtiti Mzee, angalau Annie makazi yake ingekuwa ni Mwanza hiyo ingekuwa nafuu kwangu, unajua hivi anavyokuja Dar sio kwamba anakuja na kurudi kazini! Hapana, ndio mazima hiyo
Halafu kumbuka Annie anapajua pale ofisini kwa Mzee ila hapa ninapokaa Sasa hivi ndio hapajui, lakini akifika Dar ni lazima afike hapa ninapoishi
Ironbutterfly kuja huku
Dah hii comment yako hii imenifikirisha sana. Yani hapa ni sawa na kusema ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni. Ofcourse nilivyoacha kazi Maisha yalikuwa Papatu papatuNaiona vita ya Accountant na Annie ikihamia kwa Annie na Carryn!
Kama ulivyo amua kubaki na Annie mwanzo bila kumficha Accountant, hata sasa amua kubaki na mmoja tena kwa uwazi.
Kwa mtazamo wangu wewe sasa hutakiwi kupigania mapenzi bali maisha (mali)! Kama yupo anayeku-offer vyote at a time then go for her!
Kumbuka maisha uliyopitia ulipoacha kazi kisa kupigania penzi la Annie... yalikuwa mazuri?
Watu wengi wanadai uwe na Annie kisa kakuvumilia sana, bro... Carryn kakuvumilia sana pia. Kitendo cha kukukubali na ukapuku wako sio kidogo. Unafikiri ashakutana na vijana wa hadhi yake (kiuchumi) wangapi?
Nina mengi ya kuandika lakini muda hautoshi.
Kura yangu bado naipeleka kwa Carryn.
Asante sana, japo kura umeiharibuMkuu wewe chagua moyo wako unaoona asipokuwepo maishan mwako utakuwa umemiss something muhimu kwenye life lako.
Mie wote hao naona wako vizuri,kwakua tommorow is uncertain tommorow is not promised
🤣🤣Fata moyo wako,nimekwambia hivo manake mimi nilikuwa na mtu hadi tukazaa watoto,lakin nilikuja gundua sikuwa chaguo lake ,manake enzi tunakutana nilikuwa vizuri kiuchumi,yaani nilikuwa Ironbutterfly kwelikweli🙏na yeye alikuwa alosto tu Ila niliona ni chaguo sahihi,la kuanza naye maisha,na nikampush naye asimame,kweli alisimama,then akajacheat na kuniacha,nikamruhusu aende kiroho safi ,afu nikaja fulia.Asante sana, japo kura umeiharibu
Dah Pole mwaya, sisi wanaume wabaya kweli, ila sio wote bhana. Wanaume Royal wapo mbona! Mfano mzuri MimiFata moyo wako,nimekwambia hivo manake mimi nilikuwa na mtu hadi tukazaa watoto,lakin nilikuja gundua sikuwa chaguo lake ,manake enzi tunakutana nilikuwa vizuri kiuchumi,yaani nilikuwa Ironbutterfly kwelikwelina yeye alikuwa alosto tu Ila niliona ni chaguo sahihi,la kuanza naye maisha,na nikampush naye asimame,kweli alisimama,then akajacheat na kuniacha,nikamruhusu aende kiroho safi ,afu nikaja fulia.
Ikaisha hivyo,lakin Mungu si athuman nimeanza kuzishika tena,naye kachoka kimtindo,Ila tunaongea vizuri na kulea watoto,bt alinifanya nisiwaamin wanaume tena,so wewe usiangalie situation ya mtu leo kiuchumi,hali hubadilikalife is not constant.
Asante sana Ushauri wa kibabe, mwanzo Wakati naanza kusoma nilijua kura imeharibika...LAHAULA nikakutana na "ingekuwa mimi ndio wewe" nikajua imeisha hiyoUshauri wangu,ingia kwenye mahusiano na yule ambaye una hisia nae 100%,ambaye utakua tayari kuyabeba madhaifu yake.
Kwa maana nyingine,ingia kwenye mahusiano na mwanamke ambaye unajua anakupenda na ww unampenda kwa dhati...kwamba hata kama mtapitia misukosuko hapo baadae,usiwe na sababu ya kulaumu na kujuta kwa uamuzi ulioufanya.
Tambua hakuna aliyemkamilifu,kila mmoja kati ya hao wanawake wana strong& weakness kwa namna moja na nyingine.
Ingekua mimi ndio wewe ningekwenda na Caryn...huyu ni aina ya mwanamke ambae anakufanya mwanaume ujitambue nafasi yako,...napenda mwanamke ambae atanipa challenges, ili nisijisahau kama mwanaume.
LoStory ndio imeisha hivyo mzaee, kama kuna muendelezo sio leo wala kesho
Hivi huwa mnajuaje kama mtu anakupenda? Yaan mawazo ya mtu na moyo wa mtu uujue wewe? Hii mentality ikatae.Ushauri wangu,ingia kwenye mahusiano na yule ambaye una hisia nae 100%,ambaye utakua tayari kuyabeba madhaifu yake.
Kwa maana nyingine,ingia kwenye mahusiano na mwanamke ambaye unajua anakupenda na ww unampenda kwa dhati...kwamba hata kama mtapitia misukosuko hapo baadae,usiwe na sababu ya kulaumu na kujuta kwa uamuzi ulioufanya.
Tambua hakuna aliyemkamilifu,kila mmoja kati ya hao wanawake wana strong& weakness kwa namna moja na nyingine.
Ingekua mimi ndio wewe ningekwenda na Caryn...huyu ni aina ya mwanamke ambae anakufanya mwanaume ujitambue nafasi yako,...napenda mwanamke ambae atanipa challenges, ili nisijisahau kama mwanaume.
BM story haijaisha Mana hujatuambia jibu ulilompa carren baada ya kusema kuwa atabadili tabia ambazo huzipenda na kuwa Yuko tayar kukuvumiliaStory ndio imeisha hivyo mzaee, kama kuna muendelezo sio leo wala kesho