Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,942
- 157,248
Bro haijalishi mzee au dunia itapinga.Kwa Upande wenu Patamu, ila kwa upande wangu nimefika Pachungu
Eniwei, Election inakusubiri huku
Chukua hicho chuma.
Ukiwa na mwanamke mwenye misimamo mikali na akili kubwa kama hiyo hakika hautajuta.
Ninachukia mwanamke mlaini neno moja la pili eti anakuvulia...kirahisi kuja..kirahisi kuondoka..
Najua kuna kazi sana kuhandle mwanamke wa chuma lakini faida ni nyingi kuliko faida.
Komaa kiume