Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 693
- 1,907
Hahahaha.Duh! Haya bhana, hii kura imeharibika
ila nitajaribu kuchunguza kama kuna analojua Caryn kuhusu Annie
"Love is inversely proportional to distance"
Hata babu zetu walikua wanaletewa mke tu mwanzo anaweza mkataa Ila kwa sababu ya ule ukaribu tu wa kukaa pamoja anajikuta kashapenda.
Ushampenda caryn boss. Sema utaweza kummudu? Caryn amesema anaekubali yeye kua mnyonge kwa sababu yawezekana alishaambiwa kua sio submissive kwako au anahisi ndo kitu kilichokua kinafanya ujivutevute kumtongoza.
Kama una uhakika unaweza mfanya caryn awe submissive kwako pita na mamzi hiyooo boss