Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Itakubidi uamue kumpoteza mmoja japo naona kuwa matokeo yake yatahitaji ujasiri sana!

Ningekuwa mimi ningeachana na Anie.....
Wakati huo ningeishi na Caryn bila kuonesha feelings zozote kwake!
Kiufupi ningefocus kwenye kazi tu!
⁴ : Nimeamua kuandika ka nnē kadogo kwasababu nahisi kama haitawezeka, Yani Kila nikichungulia sioni tobo, sijui nitatumia mbinu gani kufanikisha hilo
 
I

Ila mkuu kiupande wa mahusiano naona kama unataka kurudia makosa ya mtaka vyote.. na kuna kila dalili ya kukosa vyote, sidhani kama urafiki wako na caryn utaendelea endapo atagundua kwamba umemdanyanya umemtongoza huku ukiwa na mpenzi wako, yaani ulikua na lengo la kumchanganya hakuna mwanamke atafurahia hiyo scenario
Kusema ukweli kwenye mahusiano bado sijaamua naelekea wapi
 
Ndugu yangu nakuombea mema sana, na naamin utashinda Wala sina shaka.

Kama utachagua uwe na nani kwa kura za humu, yangu ihesabu nimempa Annie
Asante sana, na umetoa idea nzuri ya kupiga kura, itabidi tuitishe Uchaguzi, Binafsi nimewapitisha wote, so atakayepata kura nyingi ndio huyo huyo naruka nae

Annie kashajipatia kura ya kwanza

Wengine wataendelea...
 
Itakubidi uamue kumpoteza mmoja japo naona kuwa matokeo yake yatahitaji ujasiri sana!

Ningekuwa mimi ningeachana na Anie.....
Wakati huo ningeishi na Caryn bila kuonesha feelings zozote kwake!
Kiufupi ningefocus kwenye kazi tu!
Sasa Kwanini niachane na Annie halafu nifiche feelings kwa Caryn! Yani lengo la kuachana na Annie ni lipi hasa?
 
Kusema ukweli kwenye mahusiano bado sijaamua naelekea wapi
Niamini mimi carn anajua kua una mahusiano na anie aliambiwa na mzee kinaga ubaga ndo maana hata siku Ile mzee alikukumbusha kuhusu anie.

Tangu mwanzo m nilijua Caren anakupenda sana tena Ile sana kwa ushauri wa mzee kua atapoteza rafiki w maaana Hasa kwenye kazii haiwezi kua sababu ya maana ya kumfanya binti aliependa kweli kubadili mawazo yaani Kati hawezi hakuna baunsa Hasa binti akipenda.

Caryn aliamua kukupotezea kwa sababu tu alijua una mahusiano Ila binti kashapenda hawezi ku move on kirahisi ndo maana hata ndinga alikuachia.

(Hii ni assumption tu ila uwezekano wa kua kweli ni mkubwa sana)

Hii story nmeifwatilia mwanzo mwisho kwa mtiririko wa matukio caryn anajua kuhusu anie ndo maana Kuna kipindi usihangaike kupokelea simu nje au kama anakubana mtaarifu (hizo kauli zilikua zinatamkwa kwa wivu).
 
Asante sana, na umetoa idea nzuri ya kupiga kura, itabidi tuitishe Uchaguzi, Binafsi nimewapitisha wote, so atakayepata kura nyingi ndio huyo huyo naruka nae

Annie kashajipatia kura ya kwanza

Wengine wataendelea...
Bro nimecheka sana pale kwenye nenda rudi nenda rudi, una kipaji kikubwa sana.

N.B ndoto nyingi za vijana zinakufaga kwa sababu ya mapenzi kuwa makini sana aisee
na upendo na chuki unatenganishwa na mstari mwembamba sana.
mzee ana pointi lakini mapenzi hayatabirikigi
Tofauti ya mitizamo baina yako na carleen ni kubwa sana na ndoa ni mitizamo
Anyway muombe Mungu akuongoze ktk hili.
 
mimi naona jambo kuu moja kwanza kaa na caryn mueleze uliwai kua na mahusiano hapo nyuma na huyo mtu alienda mkoa. Eleza na scenario kua yeye ndio alikuwa sababu we na accountant mkashindwa kuelewa.

Mwambie black en white kua una feeling nae ila changamoto nashindwa kufanya uamuzi japokua na imani na wewe, maana annie sijui kinachoendelea anako kaa huko.

Mwisho wa siku nenda na caryn maana yeye ndio kakupenda atajitahidi kuvumilia kama alivyokuomba. Annie si mpi chapuo umbali na hakika umepunguza upendo baina yenu ata yeye sidhani kama ilivyokua zamani.

Nenda na unapopendwa wewe
 
Niamini mimi carn anajua kua una mahusiano na anie aliambiwa na mzee kinaga ubaga ndo maana hata siku Ile mzee alikukumbusha kuhusu anie.

Tangu mwanzo m nilijua Caren anakupenda sana tena Ile sana kwa ushauri wa mzee kua atapoteza rafiki w maaana Hasa kwenye kazii haiwezi kua sababu ya maana ya kumfanya binti aliependa kweli kubadili mawazo yaani Kati hawezi hakuna baunsa Hasa binti akipenda.

Caryn aliamua kukupotezea kwa sababu tu alijua una mahusiano Ila binti kashapenda hawezi ku move on kirahisi ndo maana hata ndinga alikuachia.

(Hii ni assumption tu ila uwezekano wa kua kweli ni mkubwa sana)

Hii story nmeifwatilia mwanzo mwisho kwa mtiririko wa matukio caryn anajua kuhusu anie ndo maana Kuna kipindi usihangaike kupokelea simu nje au kama anakubana mtaarifu (hizo kauli zilikua zinatamkwa kwa wivu).
Caryn kama anajua uwepo wa Annie basi Ile juzi angeniambia, Lakin labda inawezekana anajua, hii nayo nimeihesabu kama kura ya Annie

Okay, kura yako ww unampa nani? Kati ya Annie na Caryn
 
Bro nimecheka sana pale kwenye nenda rudi nenda rudi, una kipaji kikubwa sana.

N.B ndoto nyingi za vijana zinakufaga kwa sababu ya mapenzi kuwa makini sana aisee
na upendo na chuki unatenganishwa na mstari mwembamba sana.
mzee ana pointi lakini mapenzi hayatabirikigi
Tofauti ya mitizamo baina yako na carleen ni kubwa sana na ndoa ni mitizamo
Anyway muombe Mungu akuongoze ktk hili.
Shukrani mkuu, naomba kujua kama wewe ni Team Annie au ni Team Caryn?
 
Caryn kama anajua uwepo wa Annie basi Ile juzi angeniambia, Lakin labda inawezekana anajua, hii nayo nimeihesabu kama kura ya Annie

Okay, kura yako ww unampa nani? Kati ya Annie na Caryn
Simpi yeyote Kati yao.

Caryn anao uwezo mkubwa wa kujua vingi kuhusu wew kuliko wew unavoweza kumjua yeye.

Mwanamke akipenda anakua Lofa atafanya lolote Ili tu uwe karibu yake.
 
mimi naona jambo kuu moja kwanza kaa na caryn mueleze uliwai kua na mahusiano hapo nyuma na huyo mtu alienda mkoa. Eleza na scenario kua yeye ndio alikuwa sababu we na accountant mkashindwa kuelewa.

Mwambie black en white kua una feeling nae ila changamoto nashindwa kufanya uamuzi japokua na imani na wewe, maana annie sijui kinachoendelea anako kaa huko.

Mwisho wa siku nenda na caryn maana yeye ndio kakupenda atajitahidi kuvumilia kama alivyokuomba. Annie si mpi chapuo umbali na hakika umepunguza upendo baina yenu ata yeye sidhani kama ilivyokua zamani.

Nenda na unapopendwa wewe
Asante sana Ushauri mzuri sana huu, umenipa Idea hapa

Ila kutokana na Ushauri wàko hii naihesabu kama ni kura ya Caryn

Kama nimekosea utanirekebisha
 
Ntakuona wa ajabu sana kama upo serious kwenye hili yaani kabisa unataka kula? those too girls are very innocent coz hakuna anayejua akili yako nawaza nini kumbuka mwanamke anawekeza hisia sana japo wanaume wanakushauri kirahisi tu so ni vyema ukafanya maamuzi mapema kuliko kuumiza watoto wa watu na kuwapotezea muda.. Karma is there bro
 
Simpi yeyote Kati yao.

Caryn anao uwezo mkubwa wa kujua vingi kuhusu wew kuliko wew unavoweza kumjua yeye.

Mwanamke akipenda anakua Lofa atafanya lolote Ili tu uwe karibu yake.
Duh! Haya bhana, hii kura imeharibika

ila nitajaribu kuchunguza kama kuna analojua Caryn kuhusu Annie
 
Ntakuona wa ajabu sana kama upo serious kwenye hili yaani kabisa unataka kula? those too girls are very innocent coz hakuna anayejua akili yako nawaza nini kumbuka mwanamke anawekeza hisia sana japo wanaume wanakushauri kirahisi tu so ni vyema ukafanya maamuzi mapema kuliko kuumiza watoto wa watu na kuwapotezea muda.. Karma is there bro
Nafanya hivi kwasababu mm mwenyewe nipo njia panda bro

Naimani mawazo ya wengi yatanisaidia kufanya maamuzi sahihi

Kwa kifupi hadi Dakika hii wote nimewapa nafasi sawa, hakuna aliye juu ya mwenzake
 
Asante sana Ushauri mzuri sana huu, umenipa Idea hapa

Ila kutokana na Ushauri wàko hii naihesabu kama ni kura ya Caryn

Kama nimekosea utanirekebisha
Kuna good, and big picture, kwa bloodline ya caryn. Unafahamika na wazazi wake wote, unafanya nae kazi, unalala nae, umemla hadi mzigo, kiufupi, hiyo familia inatafuta prince, na ndio ww umepatikana, unatakiwa uwasaidie kusimamia hizo mali....umuhimu wako utaisha pale ukizaa watoto wakikua wakarithi hizo kazi zao....ni kwamba wanakuona unajichelewesha kumuoa caryn...ambae ndio crown princess

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Nafanya hivi kwasababu mm mwenyewe nipo njia panda bro

Naimani mawazo ya wengi yatanisaidia kufanya maamuzi sahihi

Kwa kifupi hadi Dakika hii wote nimewapa nafasi sawa, hakuna aliye juu ya mwenzake
Sawa kwa maana wote umeshafanya nao vitu sawa...huwezi kuwaita hawa ni wake zangu, kama hujawahi kulala nao...hahahahhahaha case closed

Back
Top Bottom