Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Wa Mwanza tunawasiliana karibia kila siku ila mambo mengi ninayopitia huku hajui, anachokijua nilimuambia tu nimehama Nyumba niliyokuwa na kaa mwanzo

Lakini kuhusu kuacha Kazi kipindi kile na kurudi kazini sikumjulisha hayo yote
Ooookey sawa sawa
 
Mkuu asante sana kwa Tag.

Story yako nzuri sana na unaitoa kwa Moyo wote hudai ata senti zetu za sie walala hoi, yaani ni Mungu akubariki mpaka ushangae
Ila jamaa sasa hivi watu washamzoea tunaenda nae vile anavyotaka, sio sisi tunavyotaka na hiyo ndio gharama tunayoilipia

Kama angekuwa kila siku anaangusha kitu sasa hivi watu wangeshaanza kumpigia makelele
 
Na kweli wangemuimbia sana. Ila wacha aangushe episode vile anataka ila tu asikawie sana maana Tunasahau matukio. Ata akianza na ilipoishia..... still bado matukio previous tunakua Tumesahau tayari

Ni hayo Tu.
 
Back
Top Bottom