fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,852
- 2,985
[emoji5]Aisee.. Ngoja nizibe pua
Mkuu hiyo kazi ya mkemia mkuuitabidi tukague kujua kama kweli linda lipo vzr,maana umekazania sana kuwa linda lipo vzr
Asante kwa ushauri mkuuhebu weka picha
[emoji16] [emoji16]Dah kuna vijimambo mitaan kweli
Zuga mpaka uzoee tu mkuu, wakikutania we kubali huku unachukulia utani tena unahadithia kwa kuikuza story,[emoji16] [emoji16]
Ushauri uliotukuka, Ngoja nipasi nguo kabisaZuga mpaka uzoeen tu mkuu, wakikutania we kubali huku unachukulia utani tena unahathia kwa kuikuza story,
Ikiwezekana anaekuamgalia tu unaropoka vip nitoe kingine uhame na leo nimekula magarage mabichi? Utazoea
Vaa mayeno kabsaUshauri uliotukuka, Ngoja nipasi nguo kabisa
Ushauri umeseviwa mkuu ,ila mie ni kidume kweli.So unamaanisha waje walizibue?
Promo nyingine bhana ni sawa tu na ile ya dady is coming
Tatizo nilichekwa sababu ya kujulikana mkuu nisingekua maarufu ingekua poa.Mbona kitu cha kawaida mkuu. Kwani ndo mala yako ya kwanza kusikia?