Hatma ya Blandina Nyoni

hivi kuna mtu anajua matokeo ya uchunguzi wa tuhuma alizotolewa na ripoti iko wapi?>

Mkuu kwani alikuwa na tuhuma zipi,na akina nani walitakiwa kutoa matokeo ya tuhuma,2saidie mpaka hapo.
 
Hapo tutangoja milele,wachunguzi wenyewe wanatakiwa kuchunguzwa.
 
hivi kuna mtu anajua matokeo ya uchunguzi wa tuhuma alizotolewa na ripoti iko wapi?>

Hivi mwizi anaweza kumchunguza mwizi mwenzake ambaye waliiba pamoja na kutumia hizo ela pomoja?
 
hivi kuna mtu anajua matokeo ya uchunguzi wa tuhuma alizotolewa na ripoti iko wapi?>
Uchunguzi na ripoti gani mkuu? Umesahau kama huyu bibi ni Board Member wa WAMA? Ndio imetoka hiyo ikirudi pancha.
 
Uchunguzi unaendelea, tusubiri tu....

Tunavuta muda astaafu, kila kitu kimeisha. Luhanjo alikuwa mjomba wake wa damu (sio wa ukoo) unadhani hapo kuna kitu. Tumuache apumzike kama Mkapa anavyopumzika.
By the way sat habari za siku nyingi.
 
Tanzania ni nchi yenye kila kitu isipokuwa watanzania
 
Blandina Nyoni na Jairo wanakula mishahara ya bure hadi muda wa kustaafu ukifika wataenda kuchukui mafao wapumzike salama!
 
ukiwa ccm hata ukiua ufuatwe unaweza kukuta kuna mahali amepewa ukurugenzi...au amepewa kazi ya kuandaa chochote cha mabilioni...yaani wana jf katika vitu ambavyo sivipendi kuliko vyote ni chama cha mapinduzi...yaani niko tayari kuambukizwa ukimwi lakini c kujiunga au kuvaa nguo au chochote cha kuashiria ccm kweli kabisa



hivi kuna mtu anajua matokeo ya uchunguzi wa tuhuma alizotolewa na ripoti iko wapi?>
 
Tunavuta muda astaafu, kila kitu kimeisha. Luhanjo alikuwa mjomba wake wa damu (sio wa ukoo) unadhani hapo kuna kitu. Tumuache apumzike kama Mkapa anavyopumzika.
By the way sat habari za siku nyingi.

Ni nzuri kabisa!!!!!!!!!!!
 

Dah hadi ngoma? Si mchezo ila mkuu mbona username yako kama vile kwa mbaaali kuna element za gamba.
 
 
Hakika nimekumbuka wimbo wa Profesa J
Mtangoja milele.
Nadhani ndiyo ukweli wenyewe.
Kesi ya Nyani kapewa Ngedere hapo hakuna kesi.
 
Hayo ni yale maneno yanayosema Mambo ni sisi kwa sisi siri zetu twajuana... wanapiga midomo wee halafu wananyamaza kama walotiwa maji ya barafu...
 
Blandina Nyoni na Dr. Mtasiwa wangekuwa na makosa, madaktari wasingefukuzwa kazi!! Itakuwa busara kama Kikwete atawarudisha hawa jamaa kazini kwao bila woga wowote kwani tuhuma zote zimethibitika kuwa ni uzushi; Pinda kwa woga wake alikurupuka kutoa maamuzi. Wadanganyika kwa asili yao ni wavivu kazi kukaa vijiweni kuzungumza mambo ya Simba na Yanga badala ya kufanya kazi hivyo mtu yeyote aliye tofauti na tabia yao ni adui ambae watamsukia majungu ili afanane nao; hawapendi wachapa kazi na ndio maana maendeleo yanawapiga chenga! Wamebakia kuandamana na kulalamika basi.!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…