Katika mazingira ya kusikitisha wale waliomwita msaliti katika chama wajikuta ghafla wakitoa pongezi kubwa kwake, kwa kuonyesha ushujaa. Zitto Kabwe kwa upande wake amekaliliwa akisema waliokuwa wabaya wake tayari amewasamehe.
View attachment 319821
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (kulia) akipeana mkono na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe.
Siku zote kiburi cha Serekali ya CCM huwa kinakuwa faida kwa upinzani tanzania.
Mtakubumbuka kiburi cha CCM kwenye bunge la katiba,kilizaa Ukawa kwa mara ya kwanza Cuf na CHADEMA wakajoin pamoja.
Hilo limejitokeza tena jana.Mwondelezo wa kibri umefuta tofauti kati ya ACT na CHADEMA Leo nani alitaraji Zitto atakula sahani moja na Lema?
Leo Zitto yupo pamoja tena na mlezi wake wa kisiasa Freeman
Kiburi kimezaa jeuri