Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Baada ya miaka 15 , hatimaye program ya Whatsapp inapatikana kwa Watumiaji wa ipad kupitia soko la app store.
Kampuni ya Meta imefanikiwa kuleta Whatsapp kwa ajili ya Watumiaji wa ipad baada ya miaka mingi kutokuwepo, app hiyo ambayo imekuja ikiwa na maboresho kadhaa kwa Watumiaji wa tablet za iphone inawapa uwezo wa kupiga video call kwa watu zaidi ya 32.
Pia inakupa uwezo wa kufanya multitasking kwa kuigawa kioo chako katikati na kuweza kutumia app zaidi ya moja kwa wakati mmoja bila shida yoyote.
Meta waliweza kutoa app ya Facebook na fb messenger ndo ziweze kufanya kazi kwa Watumiaji wa ipad lakini sasa wameongezea Whatsapp.
Instagram bado haipatikani kwa Watumiaji wa ipad hivyo itaweza kuachiwa siku za mbeleni itaanza kupatikana.