Hatimaye Wema akubali posa ya rubani

Hivi hio ndoa alishafungwa au niliota mbawa?
 
Hapa ndumba imetumika, kwahiyo mwamba kakubali kwenda kuunganishwa kwenye gridi ya Taifa, na akiunganishwa tu huo urubani ndiyo kwishnee... hakuna kampuni kubwa duniani kama Emirates utaweza kumuajiri
 
Wema hajuwi kukata hata ww ukitak kupiga unajipigia tu,mama huruma yule

Ova
 
Alikuwa zamani sasa hivi kawa kikongwe lakini anakomaa tu na social media mpaka anatia huruma
Nlimuonaga alipokuja Poland kwenye miss wrld
Kuna mwana huko smdy
Adl aliingiza verse akajipigia wkt huo kalikuwa
Kabichi anaita

Ova
 
Nlimuonaga alipokuja Poland kwenye miss wrld
Kuna mwana huko smdy
Adl aliingiza verse akajipigia wkt huo kalikuwa
Kabichi anaita

Ova

Kwahilo Wema namsifu sana, anajua kutumia utamu wake na watu wengine. Sio mbinafsi kivile.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…