Hatimaye wanyongwa!!!

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
3,651
Reaction score
416
Watu watatu nchini China ambao walituhumiwa na hatimaye kushitakiwa kwa kosa la kuweka virutubisho vyenye sumu kwenye maziwa ya watoto na baadaye kusababisha watoto kadhaa kupoteza maisha na wengine kupata maradhi, walinyongwa rasmi juzi.

Sakata la maziwa hayo ya watoto yalipelekea mtu mmoja aliyegundulika kuwa aliweka madini ya virutubisho vyenye sumu na mwingine kuyauza maziwa hayo walishitakiwa mwezi januari mwaka huu nchini humo.

My take!! Hii ni full discpline...nadhani na hapa bongo wale waliodai watz bora tule nyasi lakini yule tembo mweupe asiyetembea anunuliwe wakutane na pilato tu..huenda adabu itakuja!!
 

Finally justice has said it all!
Mfano mzuri kabisa kwa massacre kama hiyo.
I think its gonna be in the memories of many for quite a time-period!
 
..Unajua hata watu wetu wanatuhumiwa kumeza pesa zetu wangepelekwa mahakamani na kule if convicted wakatwe vichwa nina uhakika heshima na adabu itakuwepo sana kuliko sasa wanameza pesa na wanapeta tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…