Kwan kosa lipi hapo mkuu au kutamka kiungo hicho ni tusiWanajamii, Lugha hii, inafaa kwa jumuia ya 'great thinkers' inayotuelimisha ktk nyanja nyingi?
(Samahani, mimi nauliza tu, Naomba nisijibiwe kwa muundo huu).
Kinga ya ajali hizo ni hivyo vitu kuacha kutumika mkuu turudi kama zamani kutembea kwa mguu tofauti na hapo zaidi yakuchukua tahadhari na kupunguza ajali hakuna kinga yakufanya ajali isitokee kabisa nikuacha uzembe kwa watumiaji ila za uzembe zisitokeeNilidhani wameleta kinga dhidi ya ajali za anga/barabarani kumbe ukimwi! Ukimwi unauwa mtu mmoja mmoja ila ajali moja inadondoka na watu 30+ kwahiyo sioni haja ya wazungu kuumiza kichwa kutafuta dawa ya hiv!
Wakimaliza wasisahau kutupatia na kinga dhidi ya terrorist maana wakipiga tukio moja wanadondoka na watu 50+