Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

Wapuzi nyie mmeongozwa na serikali iliyomaliza chuo tangu mwezi wa 7, leo mnakuja na ujinga wa kuwa mmempata rais ina maana komba alijiogezea muda?
 
Kwanza inaonekana ww hakili yako haipo sawa haiwezekani uendelee kunifatilia kama tarifa Haifa broo temana nayo sikuanza kuleta ugomvi humu sijawahi ona m2 wa ajabu kama ww
hivi wewe ni mwanafunzi wa chuo???

sua???

jimuandiko hovyo, lugha ya kipumbavu na kijuha.

huwa mnasomea ujinga??

hata ukipewa ufanye research utaandika kitu gani wewe????
 
Kwanza inaonekana ww hakili yako haipo sawa haiwezekani uendelee kunifatilia kama tarifa Haifa broo temana nayo sikuanza kuleta ugomvi humu sijawahi ona m2 wa ajabu kama ww
Achana na mimi wewe unaletaje mada za sua apa sisi zinatuhusu nini unajaza sever zetu apa.
 
Huyu Chama gani? Maana siasa za vyuo sisi tumezifanya na tunajua influence za vyama
 
Siku hizi JF haina tofauti sana na magroup ya whatsapp
 
hivi wewe ni mwanafunzi wa chuo???

sua???

jimuandiko hovyo, lugha ya kipumbavu na kijuha.

huwa mnasomea ujinga??

hata ukipewa ufanye research utaandika kitu gani wewe????
Kubishana Na watu kama nyinyi ni kupoteza data bure kk komaa xana mungu anakuona Kwa matusi yako asante
 
Back
Top Bottom