Hatimaye wameamua kumkamata

mapolisi hayajawahi kuwa na akili. never ever!
Siunayaona mapolisi yamevaa nguo za kivita na silaha za kivita vyote vikiwa vipya!! Huu ndio ulikuwa mpango wa Samia wa kuwatayarisha mapolisi kumsaidia kuingia madarakani kwa Mrutu wa bunduki!
Kama alivyohitimisha Balozi Polepole “ kwenye uchaguzi ulio huru na haki” ccm haiwezi kushinda!!
Nani anaijua ccm kwa undani zaidi ya katibu mwenezi wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…