Kutoka msoma utasikia "Nikaokopa" badala ya "Nikaogopa"Fukuto ni kubwa na linazidi kuwabana hewa! Hapatoshi wala hapatoshani... Hatimaye wameamua kumkamata.. Hii ni aibu kubwa Sana! Na ni kushindwa kubaya kabisa
Walianza kwnye kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama.. Wakatumia kila aina ya mbinu chafu zikiwemo za matusi ya wazi, kejeli na hata kashfa.. Lakini akashinda na akawashinda vibaya mno!
Baada ya uchaguzi wakaja na mbinu ya kukigawa chama kupitia kikundi kilichojiita G55.. Kikundi hiki cha wasaka tonge kimefemea ibada ya kwanza.. Kimebemendwa hata kabla hakijajifunza kutembea.. Kimepuuzwa na Watanganyika kikapuuzika!
Mwanzoni mwa mikutano ya NO REFORMS no ELECTION wakajibu mapigo kwa kuipotosha.. Lakini kwa mshangao mkubwa wakapuuzwa na wananchi wote waliochoshwa na maujinga yao
Sasa fukuto limekuwa kali na kisu wala hakijakaribia kugusa mfupa.. Wamemkamata😂😂😂
Wakumbuke... Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo afike haraka aendakoView attachment 3298066
Mshana Jr waambie ukweli Hawa! Wanachachawa sana!Fukuto ni kubwa na linazidi kuwabana hewa! Hapatoshi wala hapatoshani... Hatimaye wameamua kumkamata.. Hii ni aibu kubwa Sana! Na ni kushindwa kubaya kabisa
Walianza kwnye kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama.. Wakatumia kila aina ya mbinu chafu zikiwemo za matusi ya wazi, kejeli na hata kashfa.. Lakini akashinda na akawashinda vibaya mno!
Baada ya uchaguzi wakaja na mbinu ya kukigawa chama kupitia kikundi kilichojiita G55.. Kikundi hiki cha wasaka tonge kimefemea ibada ya kwanza.. Kimebemendwa hata kabla hakijajifunza kutembea.. Kimepuuzwa na Watanganyika kikapuuzika!
Mwanzoni mwa mikutano ya NO REFORMS no ELECTION wakajibu mapigo kwa kuipotosha.. Lakini kwa mshangao mkubwa wakapuuzwa na wananchi wote waliochoshwa na maujinga yao
Sasa fukuto limekuwa kali na kisu wala hakijakaribia kugusa mfupa.. Wamemkamata😂😂😂
Wakumbuke... Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo afike haraka aendakoView attachment 3298066
Unabii Unasema kila watakapojaeibu kumzuia ndivyo watazidi kiharibu zaidi.Fukuto ni kubwa na linazidi kuwabana hewa! Hapatoshi wala hapatoshani... Hatimaye wameamua kumkamata.. Hii ni aibu kubwa Sana! Na ni kushindwa kubaya kabisa
Walianza kwnye kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama.. Wakatumia kila aina ya mbinu chafu zikiwemo za matusi ya wazi, kejeli na hata kashfa.. Lakini akashinda na akawashinda vibaya mno!
Baada ya uchaguzi wakaja na mbinu ya kukigawa chama kupitia kikundi kilichojiita G55.. Kikundi hiki cha wasaka tonge kimefemea ibada ya kwanza.. Kimebemendwa hata kabla hakijajifunza kutembea.. Kimepuuzwa na Watanganyika kikapuuzika!
Mwanzoni mwa mikutano ya NO REFORMS no ELECTION wakajibu mapigo kwa kuipotosha.. Lakini kwa mshangao mkubwa wakapuuzwa na wananchi wote waliochoshwa na maujinga yao
Sasa fukuto limekuwa kali na kisu wala hakijakaribia kugusa mfupa.. Wamemkamata😂😂😂
Wakumbuke... Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo afike haraka aendakoView attachment 3298066
Makamanda mlikuwa wapi?Hizo ndio 4R za mama Abdul.
Waione kwenye jalada kunguni waandamizi wa mama.
ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy 2 Lucas Mwashambwa .
Lissu amekamatwa kwa kosa gani ?Makamanda mlikuwa wapi?
mapolisi hayajawahi kuwa na akili. never ever!Polisi wametegwa wakategeka
Fukuto ni kubwa na linazidi kuwabana hewa! Hapatoshi wala hapatoshani... Hatimaye wameamua kumkamata.. Hii ni aibu kubwa Sana! Na ni kushindwa kubaya kabisa
Walianza kwnye kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama.. Wakatumia kila aina ya mbinu chafu zikiwemo za matusi ya wazi, kejeli na hata kashfa.. Lakini akashinda na akawashinda vibaya mno!
Pia soma > Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Baada ya uchaguzi wakaja na mbinu ya kukigawa chama kupitia kikundi kilichojiita G55.. Kikundi hiki cha wasaka tonge kimefemea ibada ya kwanza. Kimebemendwa hata kabla hakijajifunza kutembea.. Kimepuuzwa na Watanganyika kikapuuzika!
Mwanzoni mwa mikutano ya NO REFORMS no ELECTION wakajibu mapigo kwa kuipotosha.. Lakini kwa mshangao mkubwa wakapuuzwa na wananchi wote waliochoshwa na maujinga yao
Sasa fukuto limekuwa kali na kisu wala hakijakaribia kugusa mfupa. Wamemkamata😂😂😂
Wakumbuke. Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo afike haraka aendakoView attachment 3298066