Dah hizi nyuzi zinachosha mazee, embu mtuambie sera za mgufuli kwenye
Afya, elimu, miundombinu na uchukuzi, rushwa, katiba mpya nk haya mengine yanachosha na inaonekana ka mmepanic hivi, mchecheto umezidi sana

Hayo mambo ya ilani naona ni kama yale mambo ya kukariri na kwenda kwenye mtihani, matatizo ya tanzania yanajulikana, sioni haja ya kuwatuma watu waliochoka ka wakina wasira kuandika kwenye kitabu, na hata solution zake zipo, natamani nione magufuli, pro-ccm na hata ukawa wakitoa solution( japo ukawa atlest kidogo wanajitahidi) najua haiwezi tokea kwa ccm na pro-ccm, pengine unaona kibwagizo hapa kazi tu ila hakuna mtu anaainisha kazi ipi kwenye sekata ipi na itafanyika vipi..?Sera za CCM, Magufuli ni mtekelezaji tu, kumbuka hilo.
Kuna kitabu kizima, hujakipata? Si tu sera na namna ya kutekelezwa kwake, wapi tulipotoka nini kilichofanyika nini bado na Magufuli kapewa jukumu lipi. Jipatie nakala yako.