RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,762
kujipendekeza kwa mbowe ni bora ujipendekeze kwa balozi wa nyumba kumi,
Ndiyo nini?
Kaka kama JK mwenyewe anawaza mikopo tu ili kuendesha nchi na rasili mali tunazo nyingi,na wanafunzi wengi ni ivyo wanasoma kwa mikopo lazima wawe na AKILI ya kitumwa.Maana AKOPAYE NI MTUMWA WA AKOPESHAYE.KAMA TULIVYO WATUMWA KUANZIA KIKWETE MPAKA MKULIMA watu wanachukua MENO YA TEMBO WETU na TUNAUFYATA SABABU YA UTUMWA.Kama hawa vijana wameshindwa kujitambua kwa level hiyo ya elimu, basi kuna mushkeli kwenye mitaala ya elimu nchini.
Hebu andika T.I.A wewe Msukule wa Ufipa. Au hujui maana ya sentensi tata?
Naona una ID nyingi nyingi tofauti- unacomment mwenyewe , una reply mwenyewe; mwaka huu mtaomba POO tu. Ushauri umpelekee JK: Kwa sababu kashaisha sababisha nchi kuwa vipande vipande (Udini/ukabila na utafaifa), na kwasababu anaogopa kuimalizia kabisa (Zanzibar kivyake na bara kivyake) mwambie atangaze mchakato wa katiba ni haramu basiii. Hadi atakapo kuja Rais dume wa kuongoza nchi na mchakato mpya wa katiba.Wewe jifariji tu na huko kwenu kusiko na jina.
wanavyuo wa vyuo vyote tanzania wanataka muundo.wa serikali mbili uendelee
Tatizo sio serikali tatu Tatizo ni kuyakataa maoni ya wananchi na kuyaita maoni ya warioba haya maccm bhana yasumbua sana
Naona una ID nyingi nyingi tofauti- unacomment mwenyewe , una reply mwenyewe; mwaka huu mtaomba POO tu. Ushauri umpelekee JK: Kwa sababu kashaisha sababisha nchi kuwa vipande vipande (Udini/ukabila na utafaifa), na kwasababu anaogopa kuimalizia kabisa (Zanzibar kivyake na bara kivyake) mwambie atangaze mchakato wa katiba ni haramu basiii. Hadi atakapo kuja Rais dume wa kuongoza nchi na mchakato mpya wa katiba.
Utakuwa Kadinda wewe
U.D.S.M
I.F.M
S.U.A
M.U
C.B.E
Ingekuwa hivi tungekoma, sijui umesoma wewe au?? kwani unakuwa mngese lakini.
Hatimaye vijana wa vyuo vikuu wafunguka na kudai serikali 3 ni mzigo kwa Taifa. Wanawashauli Watanzania kuwa makini na viongozi wa Ukawa.
Wameeleza kama kweli viongozi wa Ukawa wanania ya dhati kwanini walisini posho hadi tarehe 30/04/2014?
Ndugu zangu viongozi wa ukawa hawana nia ya dhati na Taifa letu.
Heri yako wewe msomi wa Chuo kikuu...mimi nimeishia darasa la saba, tena nilimaliza mwaka 1995.