RaisMtarajiwa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 704
- 65
wasaka TONGE au kajanja buku 7Hatimaye vijana wa vyuo vikuu wafunguka na kudai serikali 3 ni mzigo kwa Taifa. Wanawashauli Watanzania kuwa makini na viongozi wa Ukawa. Wameeleza kama kweli viongozi wa Ukawa wanania ya dhati kwanini walisini posho hadi tarehe 30/04/2014? Nduguzangu viongozi wa ukawa hawana nia ya dhati na Taifa letu.
Hatimaye vijana wa vyuo vikuu wafunguka na kudai serikali 3 ni mzigo kwa Taifa. Wanawashauli Watanzania kuwa makini na viongozi wa Ukawa. Wameeleza kama kweli viongozi wa Ukawa wanania ya dhati kwanini walisini posho hadi tarehe 30/04/2014? Nduguzangu viongozi wa ukawa hawana nia ya dhati na Taifa letu.

Hahahaha hao labda LUMUMBA......
....
...
..
Tatizo sio serikali tatu Tatizo ni kuyakataa maoni ya wananchi na kuyaita maoni ya warioba haya maccm bhana yasumbua sana
Nilivyokuwa nawaangalia nikaanza kuona aibu mimi...! dah.. kazi ipo kama ndo vijana tulio nao hao.