Hatimaye uhusiano unaendakuisha

Muoe. Ukimkosa huyo utahangaika maisha yako yote usimpate wa kureplace......kitachitokea akiolewa atakuwa busy na mumewe usidhani utamoata kirahisi tena
 
Unajua usichanganywe na muonekano,hujui Mungu anapanga nini mbele,unaweza ukaja ukajuta sana na utakuwa ushachelewa.... all in all usije ukafanya jambo ambalo baadae ukaja ukajutia!! unaweza ukampata "huyo"ambae unamuwaza akawa mateso kwako ukajuta
Ndivo inavyokiwaga
 
Ehe huyo tumeskia story, tupe story ya mwingine tena
 
To get a woman is quite simple task...to get a soul mate utazurura miaka yako yote imebaki hapa duniani....nanutakuwa wa.mwisho kutoka bar miaka yako yote
 
To get a woman is quite simple task...to get a soul mate utazurura miaka yako yote imebaki hapa duniani....nanutakuwa wa.mwisho kutoka bar miaka yako yote
Duh.ujumbe wa hataar sana huu
 
Kama shida ni tatoo mbona zinafutwa?

Huyo mko nae Malaysia?We ndo umfungulie biashara?..au sijaelewa?...

Kuna period ya kuchagua lazima uringe
Na kuna period ya kuchaguliwa hapo ndo kazi ipo..
She lived there...binti ambae kapitia meng..now ametulia...she used to smoke bro..tatoo kibao..yan hata kutoka nae inakuaga shida..sema anajutia sana..sometime had anavaa nguo zinazoziba tatoo zake..ila ni mzur waa sura na umbo
 
Hebu weka picha tuone hayo matatuu
 
Daaah Mungu anakuona we kijana kwann huwa mnatufanyia hivi Lakin [emoji849][emoji849]
 
Nilichoona hapo una mixed feelings tu , hakuna kingine , na ukitaka kuamini ni kweli muache hata kesho mkae mbali hata wiki 2 tu.
 
She lived there...binti ambae kapitia meng..now ametulia...she used to smoke bro..tatoo kibao..yan hata kutoka nae inakuaga shida..sema anajutia sana..sometime had anavaa nguo zinazoziba tatoo zake..ila ni mzur waa sura na umbo
Man up!! my bradha .

Mshauri akafute hizo tatoo kwanza Kama haiwezekani at least zile za kuonekana zifutike

Mpe hata kibendi
 
Hapo pa kumfungulia mradi nimekubali wewe ni mwamba. Kuji safisha ni jambo jema, maana dunia duara.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Nilichoona hapo una mixed feelings tu , hakuna kingine , na ukitaka kuamini ni kweli muache hata kesho mkae mbali hata wiki 2 tu.
Changamoto ipo mkuu .mi mtu mzima ujue..ukishaona mtu mzima kaongea kitu ujue kuna jambo halijakaa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…