Hatimaye Serikali ya Tanzania yaondoa zuio la matangazo ya michezo ya kubahatisha (Betting)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,808
11,973
Serikali ya Tanzania imefanya marekebisho ya kanuni za michezo ya kubahatisha. Sasa Matangazo ya Michezo ya kubahatisha kurushwa kwenye runinga na Radio.

Sheria imeipa mamlaka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha kusimamia aina ya matangazo ya michezo ya kubahatisha ili kuwalinda watoto.

Januari mwaka huu, Serikali ilipiga marufuku matangazo ya michezo ya kubahatisha kwenye vyombo vya habari vya elektroniki - kama vile runinga na redio.


Zaidi, soma;



The Tanzanian government has amended the country's gaming regulations, to expand the range of licence categories available, and to potentially partially lift an advertising ban implemented in January this year.

Section 51 of the Gaming Act has been amended to grant the Tanzania Gaming Board the power to approve companies to advertise their products.

When first granted, approval to advertise will run for six months, after which it can be extended for year-long terms. Section 86A (1) has been updated to require those approved to market their services to do so in a manner that protects children and the vulnerable, without going into detail as to what this entails.

This suggests that the government is rowing back on changes implemented from 23 January this year, when it decreed that advertising on electronic media - such as television and radio - was prohibited.

Further amendments to the Gaming Act, published in the country's Official Gazette, have made five new licence categories available. Alongside the national lottery licence, currently held by Murhandziwa, a subsidiary of South Africa's Gidani, for-profit lotteries now require specific certification.

A service provider licence, for entities supplying goods or services to gaming operators, has also been created, as well as a licence for gaming consultants and one covering virtual games.

There were already eight different licence categories, alongside the national lottery licence. Seperate certifications existed for casino gaming, slot machines and retail gaming, as well as manufacturer and seller licences for service providers. Key employees of gaming businesses, such as executives, also require a licence, as do their staff, while people working on non-gaming activity within a gambling venue also require accreditation.

The Gaming Board has also been granted new enforcement powers to tackle illegal gambling, and can now audit, seize and destroy unfit or unlicensed gaming equipment.

However, it remains unclear when the Gaming Board will resume issuing sports betting and slot machine licences. In August, it announced a temporary halt to the issuance of licences, saying it needed to assess whether there was room in the market for additional businesses to enter.

In March, the regulator revealed that it expected tax contributions from the regulated gaming industry to increase to TZS96bn (£32.2m/€37.4m/$41.7m) for the fiscal year ended 30 June.

"Over the past few years, Tanzania has recorded massive growth in tax collections from gaming activities, due to the rising number of players and tighter controls," Gaming Board director general James Mbalwe said at the time.

He said that as conditions for doing business in the country had improved, the gaming industry had invested more in the market, resulting in the sector contributing around 3% of Tanzania's gross domestic product, creating around 20,000 new jobs in the market.


 
Sawa ngoja tuendelee kuwa kizazi Cha kubeti huku wenzetu wanapiga kazi, sisi tunazalisha mijizi na mikabaji ili ipate pesa ya kumnufaisha Mhindi.
 
Kama matangazo yamerudishwa ni uamuzi mbaya. Matangazo ya kubeti Bora yangebaki tu katika magazeti lakini si katika radio na luninga
 
mrangi,

Ova[/QUOTE]
Toka waache kutangaza, binafsi sikuwahi kucheza tena. Matangazo, yanahamasisha kuicheza hiyo michezo.
Kwa vile wanalipa kodi, basi, tuyakubali tu hayo madhara yatokanayo na hayo matangazo!
 
Toka waache kutangaza, binafsi sikuwahi kucheza tena. Matangazo, yanahamasisha kuicheza hiyo michezo.
Kwa vile wanalipa kodi, basi, tuyakubali tu hayo madhara yatokanayo na hayo matangazo![/QUOTE]Hawa watu ngumu kuwazuia
Mzee baba

Ova
 
Mapato ya serikali yamepua sana, sasa wameamua kula haramu, haaaaaaaa! mkuu amesalimu amri.
 
Pesa Ipo Juu Ya Sheria.

Pesa Inakupa Heshima Mbele Za Watu.

Pesa Inakurudisha Ujanani Hatakama ni Mzee Wa Miaka 70.

Pesa Inahamisha Milima Na Mabonde.

Pesa Itakufanya Uitwe Mzee Hatakama ni Mtoto Wa Miaka 17.

Pesa Inaongea Lugha Zote Uzijuazo Wewe Hapa Duniani.

Pesa Inawatoa Watu Ufahamu Na Kujikuta Wakisifu Na Kuabudu Kwa Binadamu Mwenzao.

Hata Yesu Mwenyewe Alisalitiwa Chanzo Ni Pesa.

Pesa Inapendwa Hadi Na Watoto Wadogo Hakika Uchawi Uliyopo Kwenye Pesa Ni Kiboko.

Pesa, Mshiko, Mkwanja, Mavumba, Hela, Aah!! Poah Bhana Ila Unachonifanyia Sio Freshi Wala Nini, Nakutafuta Sana Pesa Ila Unanipiga Chenga Sijui kwanini!!.

Il Poa Tu Ipo Siku Nitakupata
 
Roving Journalist
Dah,inasikitisha.Nilidhani hatimaye tutapiga marufuku kamari,kumbe tunarudia tena matapishi yetu.Hatimaye inaelekea tutakuwa kinara wa kamari duniani kama taifa,aibu sana.Tusubiri laana kama taifa.
 
Back
Top Bottom