Ungetutajia ilipo ingekuwa poa zaidiEneo lote lililoingia kwenye hifadhi ya barabara limevunjwa na ujenzi wa barabara unaendelea.
Ikumbukwe kuwa miaka takribani kumi Mh Magufuli aliitaka hoteli hii kuvunja sehemu ya hoteli hiyo kwani ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara lakini kulitokea ubishi na mapingamizi.
Ipo jijini Arusha.Ungetutajia ilipo ingekuwa poa zaidi
Kichwa cha habari na habari yenyewe vitu viwili tofauti.Eneo lote lililoingia kwenye hifadhi ya barabara limevunjwa na ujenzi wa barabara unaendelea.
Ikumbukwe kuwa miaka takribani kumi Mh Magufuli aliitaka hoteli hii kuvunja sehemu ya hoteli hiyo kwani ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara lakini kulitokea ubishi na mapingamizi.
Jingalao tunaomba utuwekee pichaEneo lote lililoingia kwenye hifadhi ya barabara limevunjwa na ujenzi wa barabara unaendelea.
Ikumbukwe kuwa miaka takribani kumi Mh Magufuli aliitaka hoteli hii kuvunja sehemu ya hoteli hiyo kwani ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara lakini kulitokea ubishi na mapingamizi.
Jamaa utadhani anachani whatsapp na mdogo wakeUngetutajia ilipo ingekuwa poa zaidi
Kwa Ngulelo, Arusha!Ungetutajia ilipo ingekuwa poa zaidi
Snow crest ipo Arusha ndio ila sio sanawar hiyo unayoisema ipo sanawar ni naura spring. Snow crest iko ngulelo kabla hujafika kwa mrefu iko pemben ya barabaraNafikiri ipo arusha sanawari karibu kabisa na kona ya kushuka kuelekea jengo la mikutano la aicc au mount meru hospital