ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
ndio mkuu kwan we huoni...Hii inahusiana na upotevu wa mafuta bandarini??
Mbona anaye yupo na mama JordanSawa ila Romy nae atafute demu, mambo ya kumgandaganda mwenzake hadi beach akiwa na mamaa sio kabisa í ½í¸
Haya mambo ya kufata fata wenzie alikua anakosa muda wa kukaa na dem wake hadi akaachwa ha ha ha na mtoto mzuri tuernySawa ila Romy nae atafute demu, mambo ya kumgandaganda mwenzake hadi beach akiwa na mamaa sio kabisa í ½í¸
Haya mambo ya kufata fata wenzie alikua anakosa muda wa kukaa na dem wake hadi akaachwa ha ha ha na mtoto mzuri tuerny View attachment 322901
Nenda siasaniHii inahusiana na upotevu wa mafuta bandarini??
Huyo mtoto yuko bomba mbali na makalio ni mzuri kwa ujumla..... Afu usisahau uzuri upo machoni kwa mtuMzuri wapi huyo, au kwasababu ya hiyo picha ya makalio? Ndio maana wadada hawataki kuvaa nguo kwasababu mmezoea kuwapa sifa sio zao.
Omy dimpoz? yule anaye bana midomo hata akiimba ili aonekane kwamba ana dimples.omari anajiita rommy...
yaleyale yakina OMARI NYEMBO ANAJIIITA OMY DIMPOZI POZ KWA POZI .....
hahahaha ,, haya bana
Mh. Huyu chakaramu,anatufaa sisi,Rommy sidhani kama alikuwa anaenda nae sawa huyu.Haya mambo ya kufata fata wenzie alikua anakosa muda wa kukaa na dem wake hadi akaachwa ha ha ha na mtoto mzuri tuerny View attachment 322901
Miguu kama mbuyu twiteHaya mambo ya kufata fata wenzie alikua anakosa muda wa kukaa na dem wake hadi akaachwa ha ha ha na mtoto mzuri tuerny View attachment 322901
Chakaramu kivipi?Mh. Huyu chakaramu,anatufaa sisi,Rommy sidhani kama alikuwa anaenda nae sawa huyu.
huwezi juwa labda kajogooo hakaliii asubuh...Haya mambo ya kufata fata wenzie alikua anakosa muda wa kukaa na dem wake hadi akaachwa ha ha ha na mtoto mzuri tuerny View attachment 322901