Mtz.mzalendo
JF-Expert Member
- Jul 22, 2012
- 357
- 49
Sasa waache kuwaaibisha Waislamu kwa kumtukana Baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Wajenge hoja wasifungwe na historia.
Kazi nI moja tu,
Sheitan kafunguliwa aanze kupiga domo.kwa vyovyote itafunguliwa ila itafungwa tena coz kunguru hafugiki.