Hatimaye Rais Magufuli kumwajibisha waziri Charles Kitwanga

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
Breaking Newss!!!

Thanks to JamiiForums.

Tetesi zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa kile kikosi kazi cha kushtukiza cha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli huenda kikaanza kazi muda wowote kuanzia sasa katika Wizara ya Mambo ya Ndani mara baada ya mkataba mbovu wa LUGUMI kubainika.

Ikumbukwe kuwa Waziri mwenye dhamana ya wizara ya Mambo ya Ndani Waziri Charles Kitwanga ni mmoja wa walionufaika na mkataba huo kupitia kampuni yake ya Infosys. Miezi michache iliyopita Waziri Kitwanga aliwang'oa wote walioshiriki kupitisha mkataba huo mbovu katika operesheni maalum ili isije kubumburuka. Kwa bahati mbaya zaidi hao hao waliong'olewa kiuonevu ndio wametoa hii habari kwenye vyombo vya habari baada ya kuchoka na mabavu yake.

Waziri Kitwanga amekuwa akihusishwa na dosari na kashfa nyingi sana tangia Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani. Pia inasemekana huenda report yake iliyotumika kumsafisha na kuchaguliwa kuwa waziri wa Mambo ya Ndani ilitengenezwa na watu walionufaika na nyendo zake mbaya kwa taifa ikiwe huo mkataba wa LUGUMI.

Wiki chache zilizopita,Waziri Kitwanga, alitajwa katika ujumbe uliokuwa ukitembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa ni katika genge la watu 6 mashuhuri "UNTOUCHABLES" wanaotaka kuitawala nchi hii kimabavu kwa kutumia nguvu ya pesa (za BOT) na vyeo vyao katika kuwachafua na kuwatoa watendaji wote waliokataa kuwaunga mkono njama zao.

Sambamba na hilo, Waziri Kitwanga, pamoja na ndugu Magori - Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, amehusishwa pia na shutma ya kupanga njama za kumuondoa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF. Ikumbukwe kuwa Kashfa iliyomuondoa madarakani ndugu Donata Mgassa aliyekuwa kiongozi wa kitengo cha manunuzi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara tu baada ya Mheshimiwa Rais kuvunja bodi ya Bandari ndio kashfa hiyo hiyo ilitakiwa imwondoe ndugu Crescentius Magori wa NSSF madarakani kwa sababu wote walihusika kwenye kashfa ya bodi ya Bandari na kupeleka kuvunjwa na mheshimiwa Rais.

Inasemekana pia bodi ya NSSF ilitaka kufanya maamuzi kama ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ndipo Waziri Charles Kitwanga akampa maagizo Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi Ndugu Eric Shitindi kuwa avunje bodi ya NSSF haraka kabla haijakaa. Katika utawala bora inategemewa Prof Kayharara afanye maamuzi yaliyofanywa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Mukandala kwani wakati maamuzi hayo yanatoka Profesa Kahyarara alikuwa miongoni mwa walioridhia uamuzi huo kwenye kikao cha manejimenti.

Mbali zaidi, Waziri Kitwanga amehusishwa na kashfa ya kuwa ni mmoja katika wafanyakazi hewa wa BOT. Katika hili na ushahidi ukapatikana ambapo gavana alipelekewa kikosi kazi kumtuliza asitumbue JIPU. Waziri Kitwanga ndio Boss wa vikosi kazi vya Polisi Tanzania.

Haikuishia hapo Waziri Kitwanga amesikika akijisifu yeye ndiye aliyemuweka Rais Magufuli madarakani na yeye ndio mfadhili wake tangia siku ya kwanza Rais wetu mtukufu alipochukua fomu ya kugombea Ubunge. Yeye pekee ndio alidhamini kampeni nzima. Sasa umefika wakati wa kulipwa fadhila zake. Ikumbukwe kuwa kipindi Rais Magufuli alipogombea ubunge kwa mara ya kwanza Waziri Kitwanga alikuwa bado mfanyakazi halali wa BOT, hakuwa HEWA bado.

Taarifa ni kuwa kile kikosi cha kushtukiza cha Mheshimiwa Rais kishampelekea ripoti ya kuhusu ukweli wa Lugumi na wa Israeli waliokuwa wanapewa tenda za jeshi la polisi na baadhi ya vifaa ambavyo vimetoka Israel bado viko kwenye godown la kampuni ya Charles Kitwana iitwayo INFOSYS.
 
Breaking Newss!!!

Thanks to Jamiiforums.

Sambamba na hilo, Waziri Kitwanga, pamoja na ndugu Magori - Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, amehusishwa pia na shutma ya kupanga njama za kumuondoa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF. Ikumbukwe kuwa Kashfa iliyomuondoa madaraka ndugu Donata Mgassa aliyekuwa kiongozi wa kitengo cha manunuzi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara tu baada ya Mheshimiwa Rais kuvunja bodi ya Bandari.

Inasemekana pia bodi ya NSSF ilitaka kufanya maamuzi kama ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ndipo Waziri Kitwanga akampa maagizo Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi kuwa avunje bodi ya NSSF haraka kabla haijakaa. Katika utawala bora inategemewa Prof Kayharara afanye maamuzi yaliyofanywa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Mukandala kwani wakati maamuzi hayo yanatoka Profesa Kahyarara alikuwa miongoni mwa walioridhia uamuzi huo kwenye kikao cha manejimenti.

Nasikia Harufu ya Uchochezi.
 
Mimi nafikiri ni vema Mh Rais atumie ule mfano wa mwalimu Nyerere wa mke wa kaisari.Waziri huyu anapaswa awekwe pembeni uchunguzi ukiwa unaendelea.
 
Tukiongeza chumvi nyingi itaonekana mtuhumiwa anasingiziwa hâta yalemambo aliyokosea. Ripoti itatoka na tutajadili vitu rasmi,hizi hisia hisia zitaharibu ladha na Target.
Tunaomba ripoti iwe wazi,majizi wooote wawekwe hadharani tujue mbivu na mbichi. Ni hatari sana pale mwenye majukumu ya ulinzi anapokuwa mwizi hâta kwa kuhisiwa tuu. Itabidi jeshiletu likarabatiwe lasivyo tutajikuta sehemu ngumu sana miaka kadhaa ijayo
 
Charles Kitwanga amewabana sana wazungu wa unga huu ni mkakati wa kutaka kumng'oa kwa kutumia vyombo vya habari... Dr Magufuli asiingie mkenge huo.. Huu ni mpango maalum.....
 
Taarifa imechanganya mambo na hata haieleweki. Sijui kwa nini mtu anaahindwa kuandika kitu kinachoweza someka vizuri na kueleweka. Japokuwa inaukweli fulani lakini imekaa kifitina na kimajungu achilia mbali uandishi mbovu
 
Breaking Newss!!!

Thanks to Jamiiforums.

Tetesi zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa kile kikosi kazi cha kushtukiza cha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli huenda kikaanza kazi muda wowote kuanzia sasa katika Wizara ya Mambo ya Ndani mara baada ya mkataba mbovu wa LUGUMI kubainika.

Ikumbukwe kuwa Waziri mwenye dhamana ya wizara ya Mambo ya Ndani Waziri Charles Kitwanga ni mmoja wa walionufaika na mkataba huo kupitia kampuni yake ya Infosys. Miezi michache iliyopita Waziri Kitwanga aliwang'oa wote walioshiriki kupitisha mkataba huo mbovu katika operesheni maalum ili isije kubumburuka. Kwa bahati mbaya zaidi hao hao waliong'olewa kiuonevu ndio wametoa hii habari kwenye vyombo vya habari baada ya kuchoka na mabavu yake.

Waziri Kitwanga amekuwa akihusishwa na dosari na kashfa nyingi sana tangia Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani. Pia inasemekana huenda report yake iliyotumika kumsafisha na kuchaguliwa kuwa waziri wa Mambo ya Ndani ilitengenezwa na watu walionufaika na nyendo zake mbaya kwa taifa ikiwe huo mkataba wa LUGUMI.

Wiki chache zilizopita,Waziri Kitwanga, alitajwa katika ujumbe uliokuwa ukitembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa ni katika genge la watu 6 mashuhuri "UNTOUCHABLES" wanaotaka kuitawala nchi hii kimabavu kwa kutumia nguvu ya pesa (za BOT) na vyeo vyao katika kuwachafua na kuwatoa watendaji wote waliokataa kuwaunga mkono njama zao.

Sambamba na hilo, Waziri Kitwanga, pamoja na ndugu Magori - Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, amehusishwa pia na shutma ya kupanga njama za kumuondoa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF. Ikumbukwe kuwa Kashfa iliyomuondoa madarakani ndugu Donata Mgassa aliyekuwa kiongozi wa kitengo cha manunuzi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara tu baada ya Mheshimiwa Rais kuvunja bodi ya Bandari ndio kashfa hiyo hiyo ilitakiwa imwondoe ndugu Crescentius Magori wa NSSF madarakani kwa sababu wote walihusika kwenye kashfa ya bodi ya Bandari na kupeleka kuvunjwa na mheshimiwa Rais.

Inasemekana pia bodi ya NSSF ilitaka kufanya maamuzi kama ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ndipo Waziri Charles Kitwanga akampa maagizo Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi Ndugu Eric Shitindi kuwa avunje bodi ya NSSF haraka kabla haijakaa. Katika utawala bora inategemewa Prof Kayharara afanye maamuzi yaliyofanywa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Mukandala kwani wakati maamuzi hayo yanatoka Profesa Kahyarara alikuwa miongoni mwa walioridhia uamuzi huo kwenye kikao cha manejimenti.

Mbali zaidi, Waziri Kitwanga amehusishwa na kashfa ya kuwa ni mmoja katika wafanyakazi hewa wa BOT. Katika hili na ushahidi ukapatikana ambapo gavana alipelekewa kikosi kazi kumtuliza asitumbue JIPU. Waziri Kitwanga ndio Boss wa vikosi kazi vya Polisi Tanzania.

Haikuishia hapo Waziri Kitwanga amesikika akijisifu yeye ndiye aliyemuweka Rais Magufuli madarakani na yeye ndio mfadhili wake tangia siku ya kwanza Rais wetu mtukufu alipochukua fomu ya kugombea Ubunge. Yeye pekee ndio alidhamini kampeni nzima. Sasa umefika wakati wa kulipwa fadhila zake. Ikumbukwe kuwa kipindi Rais Magufuli alipogombea ubunge kwa mara ya kwanza Waziri Kitwanga alikuwa bado mfanyakazi halali wa BOT, hakuwa HEWA bado.

Taarifa ni kuwa kile kikosi cha kushtukiza cha Mheshimiwa Rais kishampelekea ripoti ya kuhusu ukweli wa Lugumi na wa Israeli waliokuwa wanapewa tenda za jeshi la polisi na baadhi ya vifaa ambavyo vimetoka Israel bado viko kwenye godown la kampuni ya Charles Kitwana iitwayo INFOSYS.
Hii ni habari njema sana kama rais atakuwa ameamua kulifuatilia hili jambo maana linazidi kumpaka matope
 
Back
Top Bottom