Mimi nadhani mngeanza kulalamika wafute outdated languages kama pascal ambazo kuna baadhi ya vyuo hapa bongo mpaka leo wanaifundisha.Nimesikia kutoka kwa mdau mmoja nimefurahi sana, kwa kuwa C++ imeliwa kichwa yafaa kwa mwaka wa kwanza na course zingine sio AI.
HONGERENI WALIMU WOTE MLIO SHIFT TO PY.
Kutumia C++ wakati wa course ya Artificial intelligence haifai tena, hebu walimu wa vyuo mnaohusika mbadilike
Kwanini bado mnatumia C++ kwenye hii course? Naona bado na ninyi mnakuwa wazembe au labda vyuo husika vinawaforce kufanya hivyo, labda nipate maelekezo kidogo hapa. Maana naona PYTHON ndo imejaa vitu vingi muhimu vilivyopo kwenye hii course, but why mnadeal na algorithm pekee why not other...www.jamiiforums.com
Mfano chuo gani. Usije kuwa unabwatuka tu. Kumbe mitaala ishabadilishwa kitambo.Mimi nadhani mngeanza kulalamika wafute outdated languages kama pascal ambazo kuna baadhi ya vyuo hapa bongo mpaka leo wanaifundisha.
Siyo hivyo tu, pia badala ya kila mwaka wanafunzi wanakaa kutengeza library management system au school management system kama final year project lalamikeni muanze kufanya projects zinazo tatua matatizo ya wananchi.Mfano chuo gani. Usije kuwa unabwatuka tu. Kumbe mitaala ishabadilishwa kitambo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watu wa IT kila siku mnaongelea phython lakini sisikii mkiongelea kuhusu King Cobra ama Black Mamba ama wao hawafai kwenye hayo mambo yenu ya IT?
Unamjua mamba ama anaconda😀 hao uliotaja ni vifaranga, mimi naipenda kwenye data so huwa naitumiaWatu wa IT kila siku mnaongelea phython lakini sisikii mkiongelea kuhusu King Cobra ama Black Mamba ama wao hawafai kwenye hayo mambo yenu ya IT?
Hivi detail ni za mwaka gani mnaongeleaSiyo hivyo tu, pia badala ya kila mwaka wanafunzi wanakaa kutengeza library management system au school management system kama final year project lalamikeni muanze kufanya projects zinazo tatua matatizo ya wananchi.
Sio mwaka huu mnatengeneza library management system mwakani tena wanakuja wengine wanakopi project ya walio maliza mwaka jana... yaani inakua hamna ubunifu... ni mwendo wa copy and paste!!
Hii niliisoma 1998Mimi nadhani mngeanza kulalamika wafute outdated languages kama pascal ambazo kuna baadhi ya vyuo hapa bongo mpaka leo wanaifundisha.
Sasa kuna vyuo mpaka leo wanaifundisha. Alafu tunajiuliza kwann mitandao ya kitanzania mingi iko hovyo.Hii niliisoma 1998
hivi kumbe kuna language inaitwa PASKALI? eti bwaba Pascal Mayalla ni kweli hii??Mimi nadhani mngeanza kulalamika wafute outdated languages kama pascal ambazo kuna baadhi ya vyuo hapa bongo mpaka leo wanaifundisha.
Hkuna chuo wanafundisha hizo language za kizamaniSasa kuna vyuo mpaka leo wanaifundisha. Alafu tunajiuliza kwann mitandao ya kitanzania mingi iko hovyo.
SUA department of Engineering Science bado wanafundisha PascalHkuna chuo wanafundisha hizo language za kizamani
Mfano chuo gani. Usije kuwa unabwatuka tu. Kumbe mitaala ishabadilishwa kitambo.
Kama ni UDSM kwa taarifa yako siku hizi madogo wanafundishwa C then C++.
Huyo paskali walishamtupa ten years ago.