Hatimaye Punda Kafa

Duuuhh haki za wanyama zikwapi?!
 
hapa kwetu kuna mzungu mkikutana umebebesha punda mzigo kupita kiwango,huwa ana mfungua punda na ww mwenyewe unaubeba hata kama itabidi ulikokote mwenyewe.la sivyo akikukuta umebebesha punda na ana vindonda mwilini yeye humpiga risasi hapo hapo ili liwe funzo.
 
kazimia to awwz kufa ad mzigo ufike
 
Kwenu wapi mkuuu?
 
Huo msemo ungekuwa kwa lugha ya Kiingereza ungekuwa umeasisiwa na Robert Mugabe.

Ila kwakuwa ni msemo wa Kiswahili ni wa Mugabe wa Mbagala...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…