Hatimaye Nokia Lumia yaleta kizaa zaa!

Hatimaye Nokia Lumia yaleta kizaa zaa!

Ukwelinauhakika

Senior Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
156
Reaction score
40
Mazeya kwa yeyote yule anayejua digitizer(touch screeen ya nokia lumia 900) anijulishe plzzz yangu imecrack lakini kioo kizima chote,kwa anayefahamu zinapouzwa na ni bei gani? Au kama mtu ana nokia lumia iliyoharibika ila touch nzima ani pm nimpigie au check mi with this 0714777211! Ninaitaji kwa kweli mno.

Pia kwa anyejua jinsi ya kutumia ussd code ili ikubali katika lumia 900
 
Title yako imeonesha kama unaishutumu Nokia, wakati utunzaji wa simu ni juu yako.
 
Mwenye full lcd...ambayo simu yako imekufa nijulishe...ninunue plz
 
Mwenye full lcd...ambayo simu yako imekufa nijulishe...ninunue plz
Ub3PfR

 
Back
Top Bottom